"PROPAGANDA MACHINERY YA CHADEMA NI SHEEDAH", hawana staha, ni watu frustrated, na upeo mdogo sana wa mambo
Haohao unaowadharau ndio wapiga kura"PROPAGANDA MACHINERY YA CHADEMA NI SHEEDAH", hawana staha, ni watu frustrated, na upeo mdogo sana wa mambo
Lissu achunge sana nayeye, anahisi ana nafasi kubwa sana chadema, eti naye ni part ya chadema, anajidanganya sana hadi anatia huruma! kila mwosha naye huoshwa,
Chicken come home to roost.....