Zitto Kabwe ashindwa kutokea mkutanoni

Zitto Kabwe ashindwa kutokea mkutanoni

dandabo

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2012
Posts
303
Reaction score
176
Wakuu leo Mh Zito Kabwe ilikuwa ahutubie mkutano wa hadhara hapa wilayani Handeni. Lakini mamia ya wananchi waliojitokeza wamejikuta wakisubiri kwa muda mrefu bila mafanikio na hata viongozi wa CHADEMA wilayani hapa wameshindwa kuhutubia mkutano huo na kuwafanya wananchi kujiondokea bila kujua ni kitu gani kimetokea.
 
Shame, highly disorganized party.
 
Shame, highly disorganized party.
ukweli imekera watu wengi. Angalau viongozi wa wilaya ungeendelea na mkutano hata bila ya Mh kutofika. Hapa watu wengi wanaisubiri CHADEMA kwa hamu kubwa hasa baada ya Cuf kuyumba. Hii ilikua ngome ya Doyo aliyefukuzwa cuf, n umakini wa chadema ndo uta determine mavuno ya mamia ya wanachama wapya
 
Ha!Ha! Ha! Ndiyo chama hicho inabidi muwe wavumilivu si mnafuata msichokijua wenye chama wenyewe wanawashangaa,haoooooooo!
 
Mkutano tu wa kukijenga chama ni hivyo, jee ukiwapa nchi si ndio itakuwa "chaos". Mungu iweke CCM yetu.
 
Kweli zito hakutokea lakini swala la viongozi wa wilaya kutotokea sidhani kama umeitendea haki chadema nivyema ukawa mkweli mana tarifa yako naya vyombo vya habari inapingana.
 
siasa imekuwa kama bongo fleva sasa......!
Lakini zito ni mtu makini sana waulizeni vizuri hao viongozi wa wilaya.
 
ukweli imekera watu wengi. Angalau viongozi wa wilaya ungeendelea na mkutano hata bila ya Mh kutofika. Hapa watu wengi wanaisubiri CHADEMA kwa hamu kubwa hasa baada ya Cuf kuyumba. Hii ilikua ngome ya Doyo aliyefukuzwa cuf, n umakini wa chadema ndo uta determine mavuno ya mamia ya wanachama wapya

tayari imekula hiyo wananchi hasira tena zitto afanye tena hako kamchezo atangaze atafika haf asifike ama kweli zitto mwana siasa
 
Mkutano tu wa kukijenga chama ni hivyo, jee ukiwapa nchi si ndio itakuwa "chaos". Mungu iweke CCM yetu.

Stupidity,curiosity and terribly thoughts and comments from Tanzanian...Your among of the stupid person never ever seen,shame on you.
 
Stupidity,curiosity and terribly thoughts and comments from Tanzanian...Your among of the stupid person never ever seen,shame on you.

I hate the guy,h luk lyk hvn a tendancy of laying into graves
 
Kweli zito hakutokea lakini swala la viongozi wa wilaya kutotokea sidhani kama umeitendea haki chadema nivyema ukawa mkweli mana tarifa yako naya vyombo vya habari inapingana.

viongozi wa wilaya ni wakulima na hawana jipya la kuwaambia wakulima wenzao....walitaka mfanyakazi...........
 
atakuja mwenyewe hapa atasema kwa nini hakutokea au labda nyi wenyewe ndio mlichanganyana
 
Stupidity,curiosity and terribly thoughts and comments from Tanzanian...Your among of the stupid person never ever seen,shame on you.

Hizi lugha za watu kama hamzielewi ni bora mkae kimya.
 
Back
Top Bottom