Siasa za maendeleo hizoView attachment 848062
Haya ni maoni ya ZZK.
Anajenga mazingira ya kuonwa na Slow SlowHakika mkuu...kama jambo ni la heri lazima lisemwe...sio busara kupinga kila kitu ili ujiainishe kuwa ni mpinzani.
Ni lini CCM waliwahi kupongeza Vyama vya Upinzani?Hakika mkuu...kama jambo ni la heri lazima lisemwe...sio busara kupinga kila kitu ili ujiainishe kuwa ni mpinzani.
Mbona Magufuli akiwa Kigoma aliwahi kumpongeza Kafulila kwa kupapambana na mafisadiNi lini CCM waliwahi kupongeza Vyama vya Upinzani?
Kafulila ni Mpinzani?Mbona Magufuli akiwa Kigoma aliwahi kumpongeza Kafulila kwa kupapambana na mafisadi
pia aliwahi kumpongeza Lowassa alipomtembelea ikulu,vipi Lowassa ni mpinzani au sio mpinzani?Kafulila ni Mpinzani?
Amekosoa lakini amepongeza kwa maneno ya dhati kabisa...hiyo ndio habari mkuu!Mmchekua tweet moja ya Zitto na kuacha ile ilyosema anaunga mkono ujenzi wa reli lakini haungi mkono namna mradi huo unavyotelekezwa.
Ukweli wa Alichosema Zitto ni huu:
https://t.co/3L1hW4LL9G?amp=1