Zitto Kabwe apongeza juhudi za Mh.Rais katika ujenzi wa Reli ya kati

Haya maneno ya utangulizi yana maana kubwa sana sana...tunajua anakosoa na ni role yake kukosoa ila appreciation aliyoionesha inampa nguvu Rais na watendaji kufanya vyema zaidi na pengine kuchukua ushauri na ukosoaji alioutoa .
Hoja ni hayo maneno ya awali!!
Na hizo appreciation zake ziko clear kabisa.Hayo maelezo mengine hayaondoi pongez zzt ktk ujenz wa reli.Najua vijana wa ufipa wamachukia Sana lkn ukweli ubaki tu zito kapongeza ujenzi wa reli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Jpm mwenyewe huwa mnakata kakipande na kukajengea hoja,kwa Zito mnaleta ujuaji uchwara wa kucopy post nzima.Hata Usome vipi kuanzia akipoanza kupongeza ktk hiyo nukuu hadi kwenye nukta ni maelezo yaliyojitoshereza kabisa,Hiyo ya Hata hivyo haihusiani na pongez zake ktk swala la reli.Tuseme tu zito kapongeza ujenzi wa Reli ya kati.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukwel utabak kuwa ukwel kwa wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yuko sahihi. Kama kajenga reli apongezwe lkn akiwa mbaguzi pia aambiwe na kila mtu ajue kuwa yeye ni mbaguzi. Akiwa mdini pia aambiwe na atambue kuwa yuko hivyo. Wakati mwingine huwa haelewi. Mkumbusheni huenda akajirekebisha. jamani naye ni BINADAMU na ukubwa unalevya.
 
Back
Top Bottom