Zitto Kabwe ang'ara Kimataifa

Zitto Kabwe ang'ara Kimataifa

kambitza

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2013
Posts
2,045
Reaction score
1,325
Muda mfupi uliopita Mbunge kutoka Chadema Zitto Zuberi Kabwe emetoa taarifa ya kupata nafasi ya kuwa katibu mkuu kamati za mahesabu ya serikali kwa nchi kusini mwa Africa.

Ni jambo zuri na sifa kwa nchi yetu na chama chake cha Chadema.
 

Attachments

  • 1399827690697.jpg
    1399827690697.jpg
    64.9 KB · Views: 2,160
Hongera sana Zitto Kabwe. Wakati Watanzania na wanaojiita CHADEMA wakiendelea kukuchafua, nyota yako inazidi kung'ara hasa nje ya mipaka ya Tanzania. Ipo siku kila watakukubali, watakuhitaji kuwanusuru, lakini itakuwa too late. Usikubali kukatishwa tamaa na wenye tamaa ya madaraka. Mungu Akubariki na kukuongoza sana katika nafasi hiyo
 
Sasa watoto wa lumumba mnachoshadadia ni nn?
Mchumia tumbo mwenzenu si mbaya
 
Zitto Kabwe ni Mtanzania na Mwanachama Wa Chadema. Sherehe inatakiwa kuwa ya watanzania wakiongozwa na wanachama Wa Chadema. Chadema Zitto amewafanyia mengi makubwa likiwemo na hili Hongereni Sana.
 
kati ya wewe na Zitto nani kanyea kambi??we unafikiri kua katibu wa AFROPAC ni swala la kitoto??jamaa yako mbowe na slaa hawatapata bahati hiyo mpaka wanaingia karibuni!
Sasa mbowe na slaa hapo wametokea wapi? Inaonekana kila unapokwenda hao watu wapo mdomoni mwako.:baby:
 
Back
Top Bottom