Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Wako wapi Mnyika, H.Mdee, Sugu, hata Msigwa tu? Hawaonekani matokeo yake wamemuachia Zito Kabwe kiwanja, na sasa anajaribu kujijenga kisiasa huku chadema wakichekelea wakifikiri kwamba anaiharibu CCM, wasichofahamu ni kwamba Zito Kabwe hana uwezo wa kuiharibu CCM, CCM ni kubwa sana kwake, bali anachokifanya ni kuiharibu chadema, kwa kuijenga ACT yake!