James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,199
- 15,555
Hahaaa....mkuu umesema hata panya hatosalia.....hahaa...uchunguzi wa vifo vyao vitakuwa na utata assume watu wankutwa wamekufa na panya waliopo darini nao wamekufa...Hata Zitto ni sehemu ya watu wanafki tu ingawa kwa hili la kuichambuwa CAG report amefanyakazi nzuri.
Labda tu kama humjui Zitto ni kwamba yeye ni muislamu, ametoka Kigoma na ameaga kwao, yeyote atakayejaribu kumdhuru basi kwenye ukoo wao hata panya hatosalia.
Kwahiyo nikutowe hofu kuhusu Zitto huyu ana ulinzi wa kisayansi za chini ya bahari.
Hatujamkosea kitu MunguHivi yule CAG yuko free au ndio Lubuva style?
Nakumbuka Lowasa na Sumaye wakati wanataka kwenda Bahari beach hotel kujiunga na UKAWA wazee wa suti nyeusi waliwazongazonga kweli ila walikomaa mpaka wazee wa suti nyeusi wakaregea.
Kwa maoni yangu tumuombee zaidi CAG maana huu muziki ni yeye ndio ameweka Cd halafu ametuachia tuucheze.
Sidhani hapa duniani kama kuna mtu ana jeuri ya kumkatalia Rais hadharani swali kama aliloulizwa.
Nimemsikiliza Dr Chegeni jana kwenye kipima joto badala ya kuonesha yeye ni mtu wa kuisimamia serikali lakini ameonesha dhahiri yeye ni dekio la executive.
Watanzania tumeliwa hatuna bunge na huyo CAG repoti ya mwakani ni lazima ataandikiwa na aliye juu.
Hivi Tanzania tumemkosea nini Mungu wa kweli?
ukweli lazima usemwe, weka mbali tofauti zilizowahi tokea huko. Mkulu lazima aambiwe ukweli na nilazima viongozi kama zitto walindwe kutokana na hali tuliyonayo
Kumbukumbu zangu kumbe zimeanza kupotea, Mkuu ndio unaniweka sawa kwamba kumbe huyu CAG alikuwa mtu wa JK......nilitaka kushangaa, awamu hii kuwe na MTU makini kama huyu.....shukrani kamanda.Siyo Zitto tu Mkuu hata CAG ajilinde sana. Tayari kuna chuki ya kutisha dhidi yake ndani ya Serikali mpaka Bungeni wakati hana hatia yoyote ile zaidi ya kufanya kazi yake ambayo ni kwa mujibu wa nafasi yake ambayo aliteuliwa na Kikwete. Tangu jiwe liingie madarakani kumekuwepo na msukumo mkubwa kukwamisha kazi ya CAG na hata kumuondoa pia ili kiwekwe kikaragosi cha jiwe.
Taifa linayumba sana na linapitia kipindi kigumu mno tangu tupate uhuru.
Kumbukumbu zangu kumbe zimeanza kupotea, Mkuu ndio unaniweka sawa kwamba kumbe huyu CAG alikuwa mtu wa JK......nilitaka kushangaa, awamu hii kuwe na MTU makini kama huyu.....shukrani kamanda.
Hivi yule CAG yuko free au ndio Lubuva style?
Nakumbuka Lowasa na Sumaye wakati wanataka kwenda Bahari beach hotel kujiunga na UKAWA wazee wa suti nyeusi waliwazongazonga kweli ila walikomaa mpaka wazee wa suti nyeusi wakaregea.
Kwa maoni yangu tumuombee zaidi CAG maana huu muziki ni yeye ndio ameweka Cd halafu ametuachia tuucheze.
Sidhani hapa duniani kama kuna mtu ana jeuri ya kumkatalia Rais hadharani swali kama aliloulizwa.
Nimemsikiliza Dr Chegeni jana kwenye kipima joto badala ya kuonesha yeye ni mtu wa kuisimamia serikali lakini ameonesha dhahiri yeye ni dekio la executive.
Watanzania tumeliwa hatuna bunge na huyo CAG repoti ya mwakani ni lazima ataandikiwa na aliye juu.
Hivi Tanzania tumemkosea nini Mungu wa kweli?
WaTz wangelikuwa wazalendo Zitto angelilindwa. Lakini waTz ni wanafki, hivo ajihadhari
Duhhh,,, aseeee!!! asante kwa taarifa.Hata Zitto ni sehemu ya watu wanafki tu ingawa kwa hili la kuichambuwa CAG report amefanyakazi nzuri.
Labda tu kama humjui Zitto ni kwamba yeye ni muislamu, ametoka Kigoma na ameaga kwao, yeyote atakayejaribu kumdhuru basi kwenye ukoo wao hata panya hatosalia.
Kwahiyo nikutowe hofu kuhusu Zitto huyu ana ulinzi wa kisayansi za chini ya bahari.
eeeeeeeh kumbeeee!!! inawezekanaaaaa!!!Mara paaaap! Diwani na wabunge kujiuzulu kumbe ni nguvu ya 1.5 trilioni
Unajuwa wee jamaa ni mjinga sana, kwani wapi Zitto aliposema 1.5 Trillioni zimeibwa?wengine tunakumbuka sana,
watanzania huwa mnaenda mbele, halafu kuna muda mnajirudisha nyuma kwa mambo ya kijinga na personal gains!
mlisema zitto ni CCM au sio??
hayajapita hayo
CDM ishakufa na ishapoteza watu wengi kwa sababu ya ubinafsi
sasa hivi CDM inaishi kwa hoja za zitto
zitto anachofanya kwa magufuli ni pure politics na anaweza, yuko vizuri japo binafsi naamini 1.5T hajaibiwa
Unajuwa wee jamaa ni mjinga sana, kwani wapi Zitto aliposema 1.5 Trillioni zimeibwa?
Watu wengine wa hovyo sana.
Vinafurahisha kwa muda mchache ili watawala waonekane wanachapa kazi baada ya muda mambo yanaharibikaHivi kupika data Na takwimu za uongo vinaisaidia nini serikali? Je vina athari gani?