Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,423
Acha porojo kafulila bado hawajamtangaza na anaongoza
teh teh teh viroba bana
Acha porojo kafulila bado hawajamtangaza na anaongoza
machali hakulalamika we dada ndio unalalamika ajabu sana hii
...njoo kinyume nyume na chup. mkononi nikuoneshe udada wangu, na huyo zitto wako alete chupa ya ky jelly ashuhudie n'takachokufanya..
Moses Machali ajiunge na chama takachoanzisha Dr Slaa atasimama tena, ni mpiganaji mzuri. Kwa kweli Zitto ni mbaya sana.
chipsi mayai we mtoto,hapo ulitamani sana zitto apigwe chini
Si utani zzk ni political genius, nilimuona siku moja tu pale zhakem mbagala akimnadi mgombea wake wa urais na baada ya hapo akamtelekeza. Kumbuka kabla ya hapo aliivuruga cdm akitaka urais lakini baada ya kuwa na chama chake akaususa!
Kawashawishi wenzie lakini Kafulila akashtuka na waliomkubali wamemsaidia kurejesha ubunge wake na kupata halmashauri ya kuiongoza yeye mwenyewe huku wao wote wakipoteza.
Ni lazima uwe na akili nyingi kukamilisha mipango kama hii!
Acha Majungu, na wabunge wa nccr waliopigwa chini kawazika nani?
...mazoba hawatakuelewa! yanakomaa tu zito jembe, zito jembe, but kashindwa hata kumpa machali support ashinde?!
Acha Majungu, na wabunge wa nccr waliopigwa chini kawazika nani?
Hapa tunaongelea Zitto na Machali si Lema na Mbowe. Hao wawili hawana credibility ya Lema na Mbowe ni wasaliti tu walikutana kwa hiyo acha wanyooshane.ukiangalia uso wa lema vipi?au wa mbowwe?
Si utani zzk ni political genius, nilimuona siku moja tu pale zhakem mbagala akimnadi mgombea wake wa urais na baada ya hapo akamtelekeza. Kumbuka kabla ya hapo aliivuruga cdm akitaka urais lakini baada ya kuwa na chama chake akaususa!
Kawashawishi wenzie lakini Kafulila akashtuka na waliomkubali wamemsaidia kurejesha ubunge wake na kupata halmashauri ya kuiongoza yeye mwenyewe huku wao wote wakipoteza.
Ni lazima uwe na akili nyingi kukamilisha mipango kama hii!
Zitto kabwe mnafiki, asipewe tena uenyekiti wa PAC