Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,707
- 272,610
Masikini machali !!!.
Msilifanye jimbo la chalinze kama kichwa cha mwendawazimu sasa , yaani mtu atoke ujiji aje kugombea chalinze !Hakika Ulaghai wa Zitto Kabwe dhidi ya Machali umemfanya kumpoteza mwenzake hakika ulaghai wa kua wabunge 50 watajiunga A.C.T na Machali akaamini matokeo yake yeye ndo kazikwa rasmi.
N.B Uwezo wa Zitto Kabwe anaweza Kugombea Sehemu yoyote Tanzania na akapata Ubunge na anapanga Kugombea Jimbo la Chalinze.