Zitto Kabwe alazwa hospitali

Take care Magamba Kill squad at rampant!!
 
Get well soon Mh. Zitto!! hakika mimi na wapenda haki tunakutakia upone haraka na uendelee na harakati zako za kupambana na wezi wa nchi yetu!.
 
Tunakuombe upone haraka ili urejee kulitumikia Taifa kwa uaminifu as u always do.
 
Mitanzania ilivyo na akili fupi wataanza kusema amepewa sumu.
 
mwenye info zaidi amwage..
anaumwa nini????????

----------
UPDATES:
Taarifa toka hospitali zinadai anaendelea kuchekiwa, kichwa ndicho kinamsumbua na ana 'bacterial infection'

mkullo asije kuwa na mkono wake hapo!
 
Ka aota kake kalipopimwa kameonekana kapo imara sio kama kale ka Kolimba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…