The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,613 Oct 25, 2011 #1 mwenye info zaidi amwage.. anaumwa nini???????? ---------- UPDATES: Taarifa toka hospitali zinadai anaendelea kuchekiwa, kichwa ndicho kinamsumbua na ana 'bacterial infection'
mwenye info zaidi amwage.. anaumwa nini???????? ---------- UPDATES: Taarifa toka hospitali zinadai anaendelea kuchekiwa, kichwa ndicho kinamsumbua na ana 'bacterial infection'
Inkoskaz JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 6,359 Reaction score 2,382 Oct 25, 2011 #2 mh..hata kama kaugua kama ada ya binadamu itatia shaka kutokana na harakati zake na mtiririko wa matukio yaliowakumba frontliners
mh..hata kama kaugua kama ada ya binadamu itatia shaka kutokana na harakati zake na mtiririko wa matukio yaliowakumba frontliners
Mshume Kiyate JF-Expert Member Joined Feb 27, 2011 Posts 6,764 Reaction score 903 Oct 25, 2011 #3 Tatizo nini tena?
Mwana Mpotevu Platinum Member Joined Sep 7, 2011 Posts 3,295 Reaction score 2,505 Oct 25, 2011 #4 naye ni binadamu kuugua kitu cha kawaida, sio lazima mtu hata akiumwa mafua tu na kulazwa basi iwe habari kuuuuubwaaaa
naye ni binadamu kuugua kitu cha kawaida, sio lazima mtu hata akiumwa mafua tu na kulazwa basi iwe habari kuuuuubwaaaa
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,613 Oct 25, 2011 Thread starter #5 mwana mpotevu said: naye ni binadamu kuugua kitu cha kawaida, sio lazima mtu hata akiumwa mafua tu na kulazwa basi iwe habari kuuuuubwaaaa Click to expand... hakuna aliesema sio kawaida ndo maana tunataka more infos.. hata Mwakyembe inaweza kuwa ni kawaida but kwanza more infos.....
mwana mpotevu said: naye ni binadamu kuugua kitu cha kawaida, sio lazima mtu hata akiumwa mafua tu na kulazwa basi iwe habari kuuuuubwaaaa Click to expand... hakuna aliesema sio kawaida ndo maana tunataka more infos.. hata Mwakyembe inaweza kuwa ni kawaida but kwanza more infos.....
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Oct 25, 2011 #6 wasije wakawa wame-mwakyembe......maana anavyofatilia lileswala la CHC kila siku yuko Ernest & Young Company kupata ripoti.... Nakutakia afya njema kamanda
wasije wakawa wame-mwakyembe......maana anavyofatilia lileswala la CHC kila siku yuko Ernest & Young Company kupata ripoti.... Nakutakia afya njema kamanda
BBJ JF-Expert Member Joined Sep 2, 2011 Posts 1,184 Reaction score 164 Oct 25, 2011 #7 Eeh....!Balaa sasa!
M Mtemakuni JF-Expert Member Joined Sep 18, 2010 Posts 258 Reaction score 22 Oct 25, 2011 #8 Get well soon Mr Zitto...!! tuendeleze mapambano...
Narubongo JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 2,768 Reaction score 2,763 Oct 25, 2011 #9 FYI: @zittokabwe is hospitalized at Aga Khan Hosp in Dar. We wish him a quick recovery nimeiona muda mrefu sana. kama ni kweli pole sana kaka tupo pamoja kimaombi
FYI: @zittokabwe is hospitalized at Aga Khan Hosp in Dar. We wish him a quick recovery nimeiona muda mrefu sana. kama ni kweli pole sana kaka tupo pamoja kimaombi
M Molemo JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 14,620 Reaction score 13,361 Oct 25, 2011 #10 Get well soon frontliner
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,613 Oct 25, 2011 Thread starter #11 sasa huo mkutano kamati yake ya bunge leo umeendeshwaje??????
usininukuu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2011 Posts 380 Reaction score 44 Oct 25, 2011 #12 Mmh! Ngoja tuendelee kufuatilia
Nyakageni JF-Expert Member Joined Feb 1, 2011 Posts 15,044 Reaction score 5,114 Oct 25, 2011 #13 Get well soon!
Noti mpya tz JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 974 Reaction score 247 Oct 25, 2011 #14 The Boss said: sasa huo mkutano kamati yake ya bunge leo umeendeshwaje?????? Click to expand... Jamani wapendwa tuwekeeni details nini kimemsibu? anaumwa nn? kaanza lini? mwenye infos pls tuwekee
The Boss said: sasa huo mkutano kamati yake ya bunge leo umeendeshwaje?????? Click to expand... Jamani wapendwa tuwekeeni details nini kimemsibu? anaumwa nn? kaanza lini? mwenye infos pls tuwekee
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,613 Oct 25, 2011 Thread starter #15 Noti mpya tz said: Jamani wapendwa tuwekeeni details nini kimemsibu? anaumwa nn? kaanza lini? mwenye infos pls tuwekee Click to expand... na mimi nimeuliza infos pia
Noti mpya tz said: Jamani wapendwa tuwekeeni details nini kimemsibu? anaumwa nn? kaanza lini? mwenye infos pls tuwekee Click to expand... na mimi nimeuliza infos pia
Lyimo JF-Expert Member Joined Mar 7, 2006 Posts 3,826 Reaction score 2,021 Oct 25, 2011 #16 Get well soon
Filipo JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 9,347 Reaction score 5,553 Oct 25, 2011 #17 Get well soon Kamanda!
NAIPENDA TANZAN Member Joined May 26, 2011 Posts 84 Reaction score 17 Oct 25, 2011 #18 Pole sana mh. ZITTO, kama chanzo cha habri hii kiko sahihi.
mashikolomageni JF-Expert Member Joined Jan 5, 2010 Posts 1,570 Reaction score 193 Oct 25, 2011 #19 Get well soon Kamanda Zitto
Manyanza JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 19,152 Reaction score 43,112 Oct 25, 2011 #20 jana tu alikuwa ame ita press conference kuelezea ufisadi wa 21 bilions, wa wizara ya Maliasili. Imekuwaje tena badugu???
jana tu alikuwa ame ita press conference kuelezea ufisadi wa 21 bilions, wa wizara ya Maliasili. Imekuwaje tena badugu???