leo limekuwa kapi? ataletA MTAFARUKU chademaWamepamba rangi za wafadhili wake halafu vitambaa chokest kabisa. Ukipanda mtama utavuna mtama na mwishowe utapepeta makapi utabaki mtama safi. Odoka kapi Zitto peperushwa na upepo kabisa.
Hapo kakosea nn? picha hiyo ni wakat rais alipo tembelea kijiji cha nyarubanda ktk ufunguzi wa highschool, hapo zzk alipewa nafasi ya kumkaribisha rais na ikumbukwe nijimboni kwake.