Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,474
- 4,007
Na wewe unachombeza uko tayari kupokea kichapo takatifu???????????World records
Mna mpango wa kumpina haja ama?Huyu jamaa kuna kitu anacho kitafuta sijui nini kwakweli
Akidhurika kuna kitu kitakutokeaHuyu jamaa naanza kumchukia sasa,..mtaniwia radh tuu wajamen...mbona kila kukicha ni kuombeana njaa tuu jaman,hata kama serikal inakosea mahal,y roho yako inakua kumprove wrong tuu mkuu kila siku,huyu jamaa naomba afanywe kitu mbaya,huu use.nge sasa
Kitu gani mzee,unamtisha mtishaji,hahahahAkidhurika kuna kitu kitakutokea
Kwann yy awe wrong kila siku ebu tuambie hapo Great ThinkerHuyu jamaa naanza kumchukia sasa,..mtaniwia radh tuu wajamen...mbona kila kukicha ni kuombeana njaa tuu jaman,hata kama serikal inakosea mahal,y roho yako inakua kumprove wrong tuu mkuu kila siku,huyu jamaa naomba afanywe kitu mbaya,huu use.nge sasa
Napoleon's bonarpate alikuwa mtafutaji Kwa masilahi ya France alipigana vita nyingi kuhakikisha dola ya France inasimama wazungu walimwita War mongerHuyu jamaa naanza kumchukia sasa,..mtaniwia radh tuu wajamen...mbona kila kukicha ni kuombeana njaa tuu jaman,hata kama serikal inakosea mahal,y roho yako inakua kumprove wrong tuu mkuu kila siku,huyu jamaa naomba afanywe kitu mbaya,huu use.nge sasa
Kuendesha nchi corrupt kama hii si lelemama kijana,nchi hii imekutwa kwwnye hal mbaya,..kuirejesha kwenye mstar unahtaj uwezo mkubwa,..so kukosea ni kawaida,hao waliopita waliona mapunguf haya wakasema daah hii kaz ngum bora tule tuache muda ukifika tusepe,yeye mkuu anakomaa nao,so si kaz ndogo,na ni ngum sana kua na iman na wanaokuzunguka ambao hao miaka yote ndo masterminder wa matukio na ufisad,ndomana mkuu haamin mtu,so in the process anakosea meng,huyo hyo zitto anaejifanya anaongea,ni snitch wa dunia,na blackmailer namba1Kwann yy awe wrong kila siku ebu tuambie hapo Great Thinker
Anachokijua nin zitto,kaz ku blackmail watu,anakula huku na huku,..hic nyie vjana mnadhan kuongoza nchi hii ni lelemama kama unavoongoza mkeo home,..hii nchi jamaa kaikuta pabaya.so kuweka mambo sawa,lazma atakosea sana na mwisho atapatia tuu,Napoleon's bonarpate alikuwa mtafutaji Kwa masilahi ya France alipigana vita nyingi kuhakikisha dola ya France inasimama wazungu walimwita War monger
Wewe watanzania tutakuita mnafiki
Unamchukia mtu asiyekujua
Kwani ulimchagua
Zitto anajua anachokifanya pambana na jina lako