Naona sasa ni ligi kati ya wapinzani na polisi!
Mkuu hata wewe unasema haya,Heheheheh magufuli mwoga sana
Wewe unasema nini, hakuna cha moto wala nini, lazima serikali iwawadabishe mpaka mtakapojifunza kutii sheriaMagufuli amewasha moto ambao hataweza kuuzima
Mzee wa majipu anaanza kuchezea katiba, amevunja nyumba za walalahoi tumekaa kimya amesababisha bei ya sukari na vitu vingine kupanda tumekaa kimya sasa ameanza kukandamiza upinzani, hili hatutakubali
Amani ....Amanii.....huu Mwezi mtukufu.....tusubiri umalizike...mwezi wa kuomba mema...tuutumie vuzuri...tusiombe mabaya.Wahusika fanyeni subra na tafuteni suluhu.
Nyuma yake yupo JK, huyu ni rafiki wa familia ya JK.Behind ZK iko nguvu ya kummaliza Magu. ..