Mm huwa nachukia sana mtu kama Zitto kuandika kitu kama hiki alichoandika!
Alete uchambuzi wa maana ili kila mwananchi aelewe!
Alafu hiyo lugha aliyotumia, bibi yake kule kigoma akisoma hapo ataelewa nini?
Records si zipo lakiniNi sahihi zitto anaposema "never experienced before" kwa sababu miaka ya 80 alikuwa bado mtoto mdogo sana. Aulize wazee kulichowakuta miaka hiyo. Aache kuropoka.
Ndio asili ya wanasiasa wetu wa afrika, yuko radhi asaliti mamilion ya watu, kwa faida ya ukoo wake wenye watu 30Kitila nae, yaani kuwa ndani ya serikali leo ndio anapongeza bajeti miaka yote alikuwa analia, hii ya maji haikidhi hata mikoa 10, lakini yeye kama katibu anapongeza, ngoja tuweke kumbukumbu mwakani kusiwe na kijiji hakinamaji safi salama na yanayopatikana kwa uhakika, asije singizia bajeti.
Records si zipo lakini
Kitilia kumbe zile zote zilikuwa njaa?
Hakika Mungu anakuona
Picha gani mkuu..? Mi naona katuni tu iweke hiyo picha tuione
Ukielewa hyo picha.waeleweshe na wenzio.