Zitto Kabwe
# ACTWazalendo Tutaingia kwenye uchaguzi
wenyewe. We will go it alone as a party to defend
our principles. Mkutano Mkuu wa Chama wa
Kidemokrasia ( National Convention) utafanyika
tarehe 10 Agosti 2015
Hiyo ni post aliyoiweka kwenye mitandao ya kijamii Twitter na Facebook.

We will go it alone as a party to defend
our principles.
Oooh, unajua mimi ni msomi sana...
"Thus why am so wonders..."
Act walituma barua ukawa kutaka kujiunga hadi leo haijajibiwa unafikiri watafanyaje zaidi ya kujipanga upya kivyao.
Wa kulaumiwa ni chadema ambao ni wabinafisi wanaofikiri wanaweza kuingia ikulu bila kushirikiana na vyama vingine.
Usishangae hata huu ukawa ukavunjika.
We will go it alone as a party to defend
our principles.
Oooh, unajua mimi ni msomi sana...
"Thus why am so wonders..."
Kuna taarifa ya kwamba muombe urais kumpitia Act atakuwa ni Prof Kitaaa Mumbo.Tafadhali sana mwenye taarifa kamili atujulishe
Zitto Kabwe
# ACTWazalendo Tutaingia kwenye uchaguzi
wenyewe. We will go it alone as a party to defend
our principles. Mkutano Mkuu wa Chama wa
Kidemokrasia ( National Convention) utafanyika
tarehe 10 Agosti 2015
Hiyo ni post aliyoiweka kwenye mitandao ya kijamii Twitter na Facebook.
Kuna taarifa ya kwamba muombe urais kumpitia Act atakuwa ni Prof Kitila Mkumbo.Tafadhali sana mwenye taarifa kamili atujulishe.
Hongera Kitila kiboko ya cdmUmeandika kama unafukuzwa,tulia kisha uandike vizuri,BTW hongera kwa kuwa wa kwanza kuripoti kama ni kweli Prof Kitila Mkumbo anagombea ukikwete!
Hongera Kitila kiboko ya cdm