Japkas
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 4,051
- 6,473
Zitto Kabwe
# ACTWazalendo Tutaingia kwenye uchaguzi wenyewe. We will go it alone as a party to defend our principles. Mkutano Mkuu wa Chama wa Kidemokrasia ( National Convention) utafanyika tarehe 10 Agosti 2015.
Hiyo ni post aliyoiweka kwenye mitandao ya kijamii Twitter na Facebook.

Wakuu JF,
Amani iwe Nanyi.
Ninajaribu kuoanisha kauli za Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Zitto Kabwe za Juzi na Leo.
Juzi alikaririwa kwenye Mitandao ya Kijamii akibashiri Mapinduzi Makubwa katika Siasa za Upinzani Tanzania,alienda Mbali zaidi na Ku refer Kilichotokea Kenya,2002 Pale Chama cha KANU kili0ong'olewa na Muungano wa Vyama vya Upinzani chini ya Mwai Kibaki.
Leo baada tu ya Mkutano wa UKAWA kuahirishwa the same Zitto anakuja kutoa tamko kuwa ACT itasimama kama yenyewe na haitajiunga na UKAWA.
Maswali
1. Kauli ya juzi kuwa tutashuhudia Mabadiliko Makubwa kwenye Siasa za Upinzani Kesho Jumatatu 27/7/2015 na kufananisha na Kenya 2002 ilikuwa na Maana gani hasa ?
2. Ni nani hasa aliyeihitaji ACT UKAWA Mpaka leo Kiongozi wao aseme hawana Mpango wa kwenda UKAWA.
2. Ni lini ameanza kuwa Msemaji wa Vyama vya Upinzani ?
3. He,tukisema kuwa ni Opportunist aliyekuwa ana expect leo Lowasa Kutangaza kuhamia upinzani/UKAWA na yeye kualikwa UKAWA tutakuwa tumekosea ?,Kuwa ameona Opportunity imeota Mbawa ?