Hakika bunge linatakiwa kujitathimini hawako salama wala sahihi inaonekana kunavitu vinavyowahusu baadhi ya watu au wabunge hawavigusi ila mengine ya watu au wabunge wasiojua kujikosha wala kujipendekeza ndiyo yanajadiliwa hii siyo sawa zitto lazima ashughurikiwe ipasavyo.Ni kweli Lizaboni kulikuwa na hot debate siku ile na hata maelezo ya Zitto yaweza kuwa ilikuwa ni kutafuta huruma ya wabunge na jamii kwa ujumla lakini still haiwezi kuwa excuse ya bunge lenye dhamana kubwa ya kusimamia uwajibikaji kwa mihimili mingine lishindwe kuwajibika lenyewe.
Binafsi bado naona bunge lilipotoka sana kuachia tuhuma zile zipite bila uchunguzi wowote.
Zitto naye jambazi tu la Kalamu.
Kwani ZITTO alifukuzwa CHADEMA kwa sababu ya UFISADI? Mimi sina itikadi yoyote ya Chama pale anapoonewa mtu namtetea na pale anavurunda nakuwa kinyume naye, siyo nyie wafia vyama.Kwenye orodha ya watu waliokua wakimtetea zzk kwamba kaonewa na CDM, jina lako pia lipo! Hatimae umeanza kuelewa sasa.
Pale Mago Garden-Kinondoni, alikuwa analia kama chizi vile, eti wimbo umemgusa. -Nani kama Mama wa Bela. Nilipokasogelea kumbe kamelewa chakaliZitto mwizi sana halafu akibanwa kujibu maswali anakimbilia kulia kama mtoto mdogo ili ahurumiwe jamaa kafisadi kweli.
Ni kweli Lizaboni kulikuwa na hot debate siku ile na hata maelezo ya Zitto yaweza kuwa ilikuwa ni kutafuta huruma ya wabunge na jamii kwa ujumla lakini still haiwezi kuwa excuse ya bunge lenye dhamana kubwa ya kusimamia uwajibikaji kwa mihimili mingine lishindwe kuwajibika lenyewe.
Binafsi bado naona bunge lilipotoka sana kuachia tuhuma zile zipite bila uchunguzi wowote.
Something like that.Hakika bunge linatakiwa kujitathimini hawako salama wala sahihi inaonekana kunavitu vinavyowahusu baadhi ya watu au wabunge hawavigusi ila mengine ya watu au wabunge wasiojua kujikosha wala kujipendekeza ndiyo yanajadiliwa hii siyo sawa zitto lazima ashughurikiwe ipasavyo.
Pale mago garden alikuwa analia kama chizi eti wimbo umemgosa. -nani kama mama wa Bela. Nilipokasogelea kumbe kamelewa chakali.
asipoachia ngazi tutaenda kumtoa kwa nguzu bungeni, tumeshaanza kuhamasishana na kufikia jmosi haja ng'oka tutaanza kupanda mabasi kuelekea dodoma tayari kwa kazi ya kumng'oa asijifanye kotapini. tundu lissu lema na sugu kama mtamshindwa basi tegemeeni mshikemshike wiki ijayo, hakianani dodoma haitakalika.
Wakati wa uchunguzi, zitto kabwe ashinikizwe kuachia ngazi ndani ya kamati ya PAC kupisha ucbunguzi
Ha ha ha ha ha ha,jamaa kajinga kweli kumbe kanalewa kijinga hivi halafu hela anazokula rushwa ndiyo anaenda kulewa pombe hafai kabisa.Pale mago garden alikuwa analia kama chizi eti wimbo umemgosa. -nani kama mama wa Bela. Nilipokasogelea kumbe kamelewa chakali.
Huyu dogo nilisema mwanzo kuwa ni mwizi tena sana tu mkanipuuza zaidi ya hapo ni mnafiki na msaliti namba moja.
Kwenye orodha ya watu waliokua wakimtetea zzk kwamba kaonewa na CDM, jina lako pia lipo! Hatimae umeanza kuelewa sasa.
Huyu dogo nilisema mwanzo kuwa ni mwizi tena sana tu mkanipuuza zaidi ya hapo ni mnafiki na msaliti namba moja.
Anayetuhumiwa hapa ni Zitto kupokea mlungula kwa PAP. Anapaswa kuwajibika ili uchunguzi ufanyike akiwa nje. Anapaswa pia kuwa nje ya bungeUngesema kuwa akaunti ya PAPiliyoko stanbic ichunguzwe upya kabisa na wengineo woooote wale waliofaidika na chochote kile nao waadhibiwe! zaidi ya hapo uko husomeki unakuwa kama mchochezi! Shauri wakubwa wako suala hili lirudi upya bungeni! Tujue mwenyekiti wa baraza la mawaziri kama yuko msafi!
Zitto mwizi sana halafu akibanwa kujibu maswali anakimbilia kulia kama mtoto mdogo ili ahurumiwe jamaa kafisadi kweli.
Anayetuhumiwa hapa ni Zitto kupokea mlungula kwa PAP. Anapaswa kuwajibika ili uchunguzi ufanyike akiwa nje. Anapaswa pia kuwa nje ya bunge
Uchunguzi wa kiuoga huo!! Akaunti ya Stanbic ije upya tujue wafaidika!