TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,870
- 5,755
Wakati wa mjadala wa sakata la ESCROW bungeni hili swala liliibuliwa na Nchambi pamoja na Lusinde, wakadai wana nyaraka. Lakini wakati Zitto akijibu hoja nakumbuka aliweka commitment yake swala lipelekwe kamati ya maadili ya bunge na yeye yupo tayari kuwajibika ikiwamo kujiuzuru ubunge wake ikiwa itathibitika ni kweli.
Kwangu nilijua kwa kuwa jambo lile liliibukia bungeni tena baina ya wabunge kutuhumiana nikajua commitment ya Zitto ni suluhu mujarabu ili ukweli ufahamike. Sasa kama wale ndugu Nchambi na Lusinde waliibua hili na kudai wana nyaraka kwa nini wasingekubaliana na Zitto na kuweka commitment zao kama mwenzao? Na kwa nini Spika alilikalia kimya pasipo ufafanuzi wowote? maana hizi zilikuwa ni tuhuma dhidi ya mwenyekiti ambaye kamati yake imeshiriki uchunguzi uliokuwa unajadiliwa.
Kwenye orodha ya watu waliokua wakimtetea zzk kwamba kaonewa na CDM, jina lako pia lipo! Hatimae umeanza kuelewa sasa.
Wakati wa uchunguzi, zitto kabwe ashinikizwe kuachia ngazi ndani ya kamati ya PAC kupisha ucbunguzi
Kwa nchi za watu zitto kama china zitto anasifa zote za kunyongwa kwa kufisadi taifa halafu anakimbilia kujikosha kwa watu kumbe yeye ndiyo mwizi.asipoachia ngazi tutaenda kumtoa kwa nguzu bungeni, tumeshaanza kuhamasishana na kufikia jmosi haja ng'oka tutaanza kupanda mabasi kuelekea dodoma tayari kwa kazi ya kumng'oa asijifanye kotapini. tundu lissu lema na sugu kama mtamshindwa basi tegemeeni mshikemshike wiki ijayo, hakianani dodoma haitakalika.
Serikali hii utafikiri kichwa cha mwendawazimu.
Hawa PCCB wanaojianya wanachunguza wanashindwaje kuchunguza na kubaini wakina nani walichuka ela Mabilioni ya pesa kwenye Lumbesa pale Stanbic bak.?Ni uchizi husio na kifani. Unaacha kuchunguza watu waliokwapua a lot of billions through Stanbic unaanza kukimbizana na hawa watu waliochukua sijui vimilioni kumi sijui tano.Hii ni akili au matope.
Hii tabia ya kuchukua pesa kwa zitto hajaanza leo hata mbinu yake anayotumia ni hii wala haijabadilika kwa yeye kutumia watu kuchukua pesa zake halafu ndiyo wa kwanza kujikosha.nilijua tu hili suala litafika hapa lilipo..PCCB watakuja na mambo ya kustua nina uhakika Zitto kapokea zaidi ya shilingi hizo zilizotajwa