PreGE2025 Zitto Kabwe achukua Fomu ya Ubunge Kigoma Mjini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Zitto kafilisika kisiasa na pia ni mchumia tumbo na asiyependa mabadiliko kwa kutetea uovu.Huyu toka enzi za Kikwete ni madaraka tu.Sasa kutoka kuwa mwenyekiti wa chama hadi ubunge hakuna uwiano.Atafute mbadala kwenye chama chake kwani hana jipya zaidi ya kutafuta maslahi binafsi na huruma ya CCM kwenye mambo yake.Atapita lakini si chaguo la wananchi ni la watawala kuonesha demokrasia ipo.
 
The End justifies the Means
 
Zitto ameahidiwa kupewa ubunge wa mezani na mama Abdul. Ndiyo maana Zitto kapoa kama maji ya mtungini?

Jiwe alimuita mshamba na limbukeni lkn huyu rais wa Sasa Zitto anamuita mama.
 
Huyu ndiye mrudisha nyuma jitihada na kuleta mabadiliko ya kiuongozi nchi hii
Kama unawaza unaweza kuleta mabadilimo kwakususa uchaguzi au kuzuia uchaguzi utakua utumii kichwa chako sawa sawa.
 
Back
Top Bottom