Zitto; jipange bado nafasi ipo.

Zitto; jipange bado nafasi ipo.

Lufungulo k hoja kuu ni Zitto kushiriki kuhujumu chake na hilo tu linatosha kumuita msaliti

nashukuru umekiri walikuwa na mawasiliano tena mengi tu ya kuhujumu chama! sasa unatetea nini kama sio ukiazi tu!
 
NO HANA NAFASI TENA.

Ana kazi kubwa ya kufanya ili apate (EARN) nafasi nyingine ndani ya CHADEMA na hasa ktk mioyo ya watazanania. Zitto ana bei na majangili wanajua hilo so hakuna namna hawatamjaribu/hawatamtumia, mark my words.
 
Wanajf, mnyukano uliokuwa ukiendelea hapa jf kati ya ZITTO na BEN umetufundisha mengi. Tukiamua kuhukumu kwa kutumia maelezo yaliyotolewa bila kuona vithibitisho waliosema wanavyo, ni kuwa BEN ameeleza vizuri tofauti na wengine walionesha wazi kuwa wanawachuki na viongozi wa chama hasa Dr Slaa kwani katika maelezo yao wameibua hoja zingine au wameporomosha matusi kwa viongozi hao hali inayotufanya tumwamini BEN katika maelezo yake.
ZITTO ni kamanda makini na mtetezi wa haki na rasilimali za taifa letu hilo hakuna atakayepinga namimi tokea mwanzo nilipenda ZITTO akabithiwe chama pindi kamanda Mbowe atakapoachia madaraka, lakini kwa tuhuma hizi hata kama si za kweli lakini itakuwa vigumu kumwamini ZITTO kwa kumpa madaraka ya juu ndani ya chama. kwa kuwa hatupendi kuwapoteza makamanda wenzetu, bado ZITTO ananafasi ya kuaminika ndani ya chama kama atafanya mambo yafuatayo;

[1] kujielekeza zaidi kujenga chama akishirikiana na makamanda wenzake.
[2] kuacha kuibua hoja zinazoleta mkanganyiko ndani ya chama.
[3] kushirikiana vizuri na viongozi wenzake katika masula mbalimbali.
[4] kuacha tabia ya kuonesha kupenda madaraka kuliko kuwatumikia wananchi.
[5] kuvumilia pale anapoona anakosewa na kisha kutatau kwa njia bora zaidi.
[6] kupunguza Ukigoma kwani hii inaibua ukanda na ukabila
[7] kuacha harakati za chinichini ambazo hazina manufaa kwa chama na taifa
.
makamanda bado tunamuhitaji ZITTO tumshauri akituelewa tusahau yaliyopita na tuendeleze mapambano. Naomba kuwasilisha!!!.
Mantegi,
Hizo ulizotaja sio kasoro ndogo, hasa hizo nilizokoleza wino mwekundu ...ni tabia. Tabia haibadiliki usiku mmoja, inachukua muda na ina gharama ya kulipia. Moja ya hatua za awali kabisa ni lazima kwanza akubali tabia alizonayo ni mbaya/hazifai kisha ndipo mchakato wa kubadilika uanze. Muda alionao ni mdogo na anahitaji kufanya kazi kubwa sana, vinginevyo siasa ndani ya CHADEMA ndio basi tena itabidi tu aende kwingine au aache siasa kabisa.

Inavyoonekana Zitto sio mwanafunzi mzuri (haifai kusingizia eti ana washauri wabaya kwani ni mtu mzima and should simpley be responsible). Ana kiburi. Kiburi na kujifunza ni maadui. Hivyo mfikishieni ujumbe kuwa the ball is firmly in his court
 
NO HANA NAFASI TENA.

Ana kazi kubwa ya kufanya ili apate (EARN) nafasi nyingine ndani ya CHADEMA na hasa ktk mioyo ya watazanania. Zitto ana bei na majangili wanajua hilo so hakuna namna hawatamjaribu/hawatamtumia, mark my words.

zzk ndani ya cdm sasa ni sawa na masalia ya samaki ambayo hayafai kulishwa hata kuku!!!!
 
Wanajf, mnyukano uliokuwa ukiendelea hapa jf kati ya ZITTO na BEN umetufundisha mengi. Tukiamua kuhukumu kwa kutumia maelezo yaliyotolewa bila kuona vithibitisho waliosema wanavyo, ni kuwa BEN ameeleza vizuri tofauti na wengine walionesha wazi kuwa wanawachuki na viongozi wa chama hasa Dr Slaa kwani katika maelezo yao wameibua hoja zingine au wameporomosha matusi kwa viongozi hao hali inayotufanya tumwamini BEN katika maelezo yake. ZITTO ni kamanda makini na mtetezi wa haki na rasilimali za taifa letu hilo hakuna atakayepinga namimi tokea mwanzo nilipenda ZITTO akabithiwe chama pindi kamanda Mbowe atakapoachia madaraka, lakini kwa tuhuma hizi hata kama si za kweli lakini itakuwa vigumu kumwamini ZITTO kwa kumpa madaraka ya juu ndani ya chama. kwa kuwa hatupendi kuwapoteza makamanda wenzetu, bado ZITTO ananafasi ya kuaminika ndani ya chama kama atafanya mambo yafuatayo; [1] kujielekeza zaidi kujenga chama akishirikiana na makamanda wenzake. [2] kuacha kuibua hoja zinazoleta mkanganyiko ndani ya chama. [3] kushirikiana vizuri na viongozi wenzake katika masula mbalimbali. [4] kuacha tabia ya kuonesha kupenda madaraka kuliko kuwatumikia wananchi. [5] kuvumilia pale anapoona anakosewa na kisha kutatau kwa njia bora zaidi. [6] kupunguza Ukigoma kwani hii inaibua ukanda na ukabila [7] kuacha harakati za chinichini ambazo hazina manufaa kwa chama na taifa. makamanda bado tunamuhitaji ZITTO tumshauri akituelewa tusahau yaliyopita na tuendeleze mapambano. Naomba kuwasilisha!!!.
Kuna mambo ambayo huwa watu huomba yasitokee kabisa.Samahani kwa wasioupend ahuu mfano.....Kuna watu Yesu alisema bora wasingezaliwa......kwa vile walsihaingia ktk one way traffic. Zitto kajiweka mahali pabaya halafu anataka watu wasacrifice tena ili yeye akae pema tena.SI mara ya kwanza huyu kimeo kukosea, hajawahi jibu maswali yangu.NIliwahi muuliza mara ngapi kanunu magari ya kifahari amabyo yeye anasema alikuja gundua kuwa hayakuwa economical ila alinunu tena na tena, nikamuuliza atuhakikihsie hatolifikisha taifa huko mara nyingi n akuamua geuka kama apendavyo.hakuwahi jibu hilo swali popote hata ktk mahojiano mods hawakumfikishia tena na tena. Alipofikia nia kama mtu aliyezaa na mamake, sijui atasaidiwa vipi?Sasa hivi mtakuja sana na ID nyingi ili kulegeza mambo bil akulip ahasara alizosababishia CDM kwa huu ujinga.Zitto kw akuwa slefish tena anataka CDM yote nayoion ipo ktk mfuko wake i sacrifice ili yeye abaki upande salama kw atatizo alipaswa kuwajibika.Kiongozi makini anwajibika.Marion jones laiwajibika na kurudisha medali zote. Zitto asipowajibika hapa niw azi kuwa hana tofauti na seriklai ya JK na mawaziri wake wasiopenda wajibika.Kaanza hivi itakuweje akiwa rais au waziri? Go to hell, lazima uwajibike na kukubali makosa yako hadharani, kuwaomba msamaha wote uliowafanyia hila kuanzia mnyika, Lema,Dr Slaa, Mbowe, Lisu, Sugu etc.Halafu uwaombe msamaha watanzania kw akudhoofisha democrasia,Uimara wa CDM ndio umefanya CCM imrudishe mangula waliokuwa wamemdhalilisha hata ktk ngazi ya mchangani, na wana CDM wote. Mtkuja sana na suala la maridhiano kwa vile watanzania mmekosa sana ration reasoning,ni matokeo ya CCM haya.Ika Zitto huwa ni dangerour sana yupo too speedy na kugundua makosa yake too late na mbishi kiasi cha kutaa fnay amajaribio ya kublackmail wengine na kuwafanya wajisikie wao ndio wakosefu.Ni tabia za kike na dhaifu kwa wanume wajinga.Sidhani kama tuna haja ya sisi sote kuwa wazazi wake.Tuchukue nafasi ya baba yake au mzazi mwingine aliyewahi mkosa ktk malezi yake.Kwanza kwa shida gani sisi tuwe wazazi na wakunga wa wanansiasa wetu amabo tulitegemea waingie wakiwa matured na tayari kutuongoza?Zito hawezi lazimisha taifa limkubali kwa nguvu.HII LAZIMA AIJUE KWA MOYO WOTE.
 
Zitto ameshauriwa sana jamani,kuna wazee humu wameshauri sana lakini Prezzo amejaa kiburi na ujuaji! Zitto hawezi kubadilika kutoka kwenye umimi,ningeshauri afanye kazi nyingine kama ualimu pale UDSM. Zitto anataka kufanya kazi za chama anavyotaka yeye na sio as a collective responsibility! Nasubiri kuona nini CDM watafanya nini!
na UDSM pamejaa useful I.D..I.O.Ts. ataenda ongezea bunch tuu.Mwanangu hatoenda pale akafundishwe na hawa masalia.Kwanza sijui kama nao watamtaka.Soon atakuwa busy kupindua watu na kunchorea line VC. mwanamume akishaachika huwa hawezi pata mke wa kudumu kirahisi.
 
haiwezekani eti, umfananishe ZZK na BEN, katka mnyukano. hutendi haki, ndo maana baada ya ZZK kutoa kile alichosema juu ya vuguvugu hili, binafsi nilimshauri kaa kimya. tumia maneno ya mwl JK usijibu hoja za kipumbavu. utamfananishaje na mtu ambaye amesema hajawahi kumuona zaidi ya kuwasiliana kwa njia ya simu.hata yy BEN ktk maelezo yake hajajibu hilo. jiulize iwe kwa ZZK tu . TUHUMA zitoshe kumuwajibisha hata kama si za kweli. kuna nini? yaani yy awe zezeta ndani ya chama sababu ya REMOTE. kamanda ZZK usikubali na najua hutokubali na hujakubali na siku ukikubali Tanzania itajua mwisho umefika. MAPAMBANO HAYAENDELEI.
Kwa maelezo yoyote yale ni kwamba ZITTO NA BEN WALIKUWA WANAFAHAMIANA TENA KWA KARIBU SANA.

Iwe wameonana au hawajaonana kwa sura lakini wanafahamiana vizuri sana. Mpango wao ulikuwa ni mmoja tu japokuwa Ben kawasaliti wenzie.
 
Wanajf, mnyukano uliokuwa ukiendelea hapa jf kati ya ZITTO na BEN umetufundisha mengi. Tukiamua kuhukumu kwa kutumia maelezo yaliyotolewa bila kuona vithibitisho waliosema wanavyo, ni kuwa BEN ameeleza vizuri tofauti na wengine walionesha wazi kuwa wanawachuki na viongozi wa chama hasa Dr Slaa kwani katika maelezo yao wameibua hoja zingine au wameporomosha matusi kwa viongozi hao hali inayotufanya tumwamini BEN katika maelezo yake.
ZITTO ni kamanda makini na mtetezi wa haki na rasilimali za taifa letu hilo hakuna atakayepinga namimi tokea mwanzo nilipenda ZITTO akabithiwe chama pindi kamanda Mbowe atakapoachia madaraka, lakini kwa tuhuma hizi hata kama si za kweli lakini itakuwa vigumu kumwamini ZITTO kwa kumpa madaraka ya juu ndani ya chama. kwa kuwa hatupendi kuwapoteza makamanda wenzetu, bado ZITTO ananafasi ya kuaminika ndani ya chama kama atafanya mambo yafuatayo;

[1] kujielekeza zaidi kujenga chama akishirikiana na makamanda wenzake.
[2] kuacha kuibua hoja zinazoleta mkanganyiko ndani ya chama.
[3] kushirikiana vizuri na viongozi wenzake katika masula mbalimbali.
[4] kuacha tabia ya kuonesha kupenda madaraka kuliko kuwatumikia wananchi.
[5] kuvumilia pale anapoona anakosewa na kisha kutatau kwa njia bora zaidi.
[6] kupunguza Ukigoma kwani hii inaibua ukanda na ukabila
[7] kuacha harakati za chinichini ambazo hazina manufaa kwa chama na taifa
.
makamanda bado tunamuhitaji ZITTO tumshauri akituelewa tusahau yaliyopita na tuendeleze mapambano. Naomba kuwasilisha!!!.
Mantegi,
Hizo ulizotaja sio kasoro ndogo, hasa hizo nilizokoleza wino mwekundu ...ni tabia. Tabia haibadiliki usiku mmoja, inachukua muda na ina gharama ya kulipia. Moja ya hatua za awali kabisa ni lazima kwanza akubali tabia alizonayo ni mbaya/hazifai kisha ndipo mchakato wa kubadilika uanze. Muda alionao ni mdogo na anahitaji kufanya kazi kubwa sana, vinginevyo siasa ndani ya CHADEMA ndio basi tena itabidi tu aende kwingine au aache siasa kabisa.

Inavyoonekana Zitto sio mwanafunzi mzuri (haifai kusingizia eti ana washauri wabaya kwani ni mtu mzima and is expected to simply be responsible). Pia ana kiburi na dharau. Kiburi na kujifunza ni maadui, havipatani.

Hivyo mfikishieni ujumbe kuwa the ball is firmly in his court.
 
Dr.Slaa je? Manake naona kma kashfa nae anazo za kutosha. Big up kwa Lissu mpaka sasa.

na chadema wakimfanyia na lissu hizi politics of character assassination ambapo mbowe na mtei ndio mabingwa kwa siasa hizo tutaamini kweli hiki ni chama cha wakaskazini peke yao
 
Nilikupenda sana Zitto ila we hilo hukujali na kujihusisha na usaliti, ngoja tusubiri maamuzi ya chama kwa sasa sina mengi ila pole sana kamanda wangu Zitto na tuone mwisho wake.
 
Last edited by a moderator:
We juha acha kutuona vichwa maji! Ben kaweka hapa mawasiliano yake na Zitto tena mara kibao mbona Zitto hajakana?

Daima ukisimama upande wa giza huwezi kushinda mwanga!

Muasi mkuu amepigwa wengine mnahangaika bure na hamchomoki safari hii!

Kwa hiyo wewe umesimama upande wa mwanga?acha ujuha wewe.
 
Back
Top Bottom