Zitto; jipange bado nafasi ipo.

Zitto; jipange bado nafasi ipo.

Huyu mshkaji alikuwa kipenz cha watanzania asipokuwa makin atakuwa adui wa watanzania
 
Wanajf, mnyukano uliokuwa ukiendelea hapa jf kati ya ZITTO na BEN umetufundisha mengi. Tukiamua kuhukumu kwa kutumia maelezo yaliyotolewa bila kuona vithibitisho waliosema wanavyo, ni kuwa BEN ameeleza vizuri tofauti na wengine walionesha wazi kuwa wanawachuki na viongozi wa chama hasa Dr Slaa kwani katika maelezo yao wameibua hoja zingine au wameporomosha matusi kwa viongozi hao hali inayotufanya tumwamini BEN katika maelezo yake.
ZITTO ni kamanda makini na mtetezi wa haki na rasilimali za taifa letu hilo hakuna atakayepinga namimi tokea mwanzo nilipenda ZITTO akabithiwe chama pindi kamanda Mbowe atakapoachia madaraka, lakini kwa tuhuma hizi hata kama si za kweli lakini itakuwa vigumu kumwamini ZITTO kwa kumpa madaraka ya juu ndani ya chama. kwa kuwa hatupendi kuwapoteza makamanda wenzetu, bado ZITTO ananafasi ya kuaminika ndani ya chama kama atafanya mambo yafuatayo;

[1] kujielekeza zaidi kujenga chama akishirikiana na makamanda wenzake.
[2] kuacha kuibua hoja zinazoleta mkanganyiko ndani ya chama.
[3] kushirikiana vizuri na viongozi wenzake katika masula mbalimbali.
[4] kuacha tabia ya kuonesha kupenda madaraka kuliko kuwatumikia wananchi.
[5] kuvumilia pale anapoona anakosewa na kisha kutatau kwa njia bora zaidi.
[6] kupunguza Ukigoma kwani hii inaibua ukanda na ukabila
[7] kuacha harakati za chinichini ambazo hazina manufaa kwa chama na taifa.
makamanda bado tunamuhitaji ZITTO tumshauri akituelewa tusahau yaliyopita na tuendeleze mapambano. Naomba kuwasilisha!!!.
Tathmini nzuri sana ,nakupongeza
 
Mnyukano huu wa vijana ambao taifa linawategemea kushika dola siyo mzuri.kama wote tunajenga nyumba moja kwanini tunagombea fito?
 
Zitto hana vision ya kumkomboa mnyonge ila anautaka urais kwa manufaa yake binafsi pengine na wafuasi wake tu. Alienda malaysia eti kujifunza kuhusu mawese, mpaka sasa hajatuonyesha kama hayo aliyojifunza yanamanufaa kwa wananchi wa wake wa Kigoma wenyewe. Anatumia kisingizio cha wananchi kumtoa "outing" yule mbunge mwenzake. Sidhani kama Tanzania imefiriska wanasiasa kiasi cha kuanza kumfikiria huyu dogo kwa nafasi kama ya urais.
 
Dr.Slaa je? Manake naona kma kashfa nae anazo za kutosha. Big up kwa Lissu mpaka sasa.
teh teh..Zitto anatia husuma kweli.Ila ni kawaida ya psychopaths huwa wanajitahidi sana confuse watu, wanajitahidi sana changanya mambo at their own detriments. Nani kawaambia nyie kiwango duni kuwa "kutaja makosa ya mwenzio kunaondoa yako?huw akunaongezea tuu idadi ya waovu na kila mwovu atakuwa answerable kwa makosa yake.
 
punguza uchagga kupita kiasi uone kama kichefu chefu kitaendelea!

Mimi muhaya PURE I love my party till death hizi propaganda za Zitto hakuna kitu(ngoja nikudhibitishie)

korabanomanya ekihaya olashobokerwa ukwo ndakugambila
obufela bwawe Zitto kutuletala udini, nibukabila mbujoutwala umukuzumu
 
Zitto hili jina linaniboa zito sisi tunataka ukombozi wa taifa na rasirimali zetu wewe unataka urais(madaraka) hiyo ndio tofauti kubwa kati yako na makamanda wengine...................sioni faida yako kwa sasa zaidi ya umimi na ukagoma tena wewe unaweza kuligawa taifa kwa ukanda..nimekusikia leo pia BBc na kauli zako za kuwagawa watu hasa lindi na mtwarakisa gesi.....
 
Mnyukano huu wa vijana ambao taifa linawategemea kushika dola siyo mzuri.kama wote tunajenga nyumba moja kwanini tunagombea fito?

Mdau Umesahau kuwa kuna mataifa mawili, la wenye nacho na mafukara, na hiki kirusi cha mafisadi kipo kila kona ya nchi, aidha kwa wao wenyewe kuingia kazini na kutugombanisha au kuwatumia vibaraka wao, wewe mwenyewe si unawaona mitazamo yao. ndio maana hata tafsiri za kiongozi bora ni yupi hazifanani, kwa wao kiongozi bora ni yule anayewalipa hata kama ni kwa njia haramu. kwa hiyo ogopa sana hawa watu wanaosifia majina badala ya kuangalia ubora na utendaji wa mtu kama kiongozi.
 
Mnyukano huu wa vijana ambao taifa linawategemea kushika dola siyo mzuri.kama wote tunajenga nyumba moja kwanini tunagombea fito?
Hawako pamoja na wala hawajengi nyumba moja.

Kundi moja ni WanaCHADEMA na kikundi kingine ni ''Misukule ya Zitto'' inayofugwa na CCM.
 
teh teh..Zitto anatia husuma kweli.Ila ni kawaida ya psychopaths huwa wanajitahidi sana confuse watu, wanajitahidi sana changanya mambo at their own detriments. Nani kawaambia nyie kiwango duni kuwa "kutaja makosa ya mwenzio kunaondoa yako?huw akunaongezea tuu idadi ya waovu na kila mwovu atakuwa answerable kwa makosa yake.
Makamanda wa kweli wote wanajulikana, najuwa masanini sijuwi, mp7 na sisiem watatumia kila mbinu kutuchanganya wananchi, ndio maana wameanza kutajataja jina la Lisu, subiri utasikia poison ya smiling snake hivi karibuni.
 
my view is very clear.Zitto ni too desperate kuweza mfanyia rehab..km ten hana Mungu ni wazi ataishia kama Aliyempa joto Wema.Keshaingia maagano always ataanguka tuu, keshawaapia wazee kule jehanum, wale wazee wenye sura kama avator ya ritz ni nouma.Ni kama mbwa mwenye rabies .Ni vampire fulani. wame taja sana majina ya watu kuwachanganya, wamemtaja Mnyika kugombea nafasi ya mwenyekiti, Sijui na Julina msaidizi as if Julina na Mnyika ni kambi moja, halafu kama vile juliana ana hizo sifa zidi ya kiti maalumu.Hayo ni maagano waliyowekea kuzimu tuu.Siku hizi ndizo dili za wabongo.Hawa mazoma wakikumbuka sura za waliowawekea maagano wanasikia kufa, wanaskia mwili mwepesi kufanya aliyofanyiwa kafulia.
 
Mimi muhaya PURE I love my party till death hizi propaganda za Zitto hakuna kitu(ngoja nikudhibitishie) koraba nomanya ekihaya olasobokera ukwo ndakugambila obufela bwa Zitto kutuletala udini, nibukabila mbujoutwala umukuzumu
comrade nimekukubali. Kwanza avator yako ni ya mtu namkubali.Kukubaki kabila lako ni sehemu ya kuwa mtu halafu kuongelea lilipo mezani tayari umeshamuabisha Zitto.Hivi keshwahi sema yeye ni kabila gani pale kigoma?Au anadhani bei ya dagaa imepanda sana kiasi anaweza iuza kama Tanzania, na hivyo kuwapanga wana kigoma kwa stayle ya psychopatic kutamsaidia sana kuwaibia, na kuwafanya watumwa.Mtumwa kuwa na watumwa inawezekana kweli?kwanini asingekuwa huru tuu pale CDM halafu ndipo afikirie huwa master.Ingawa ukishavaa utu kw akustaarabika ni Mungu tuu anakupa u- master.
 
Last edited by a moderator:
Wanajf, mnyukano uliokuwa ukiendelea hapa jf kati ya ZITTO na BEN umetufundisha mengi. Tukiamua kuhukumu kwa kutumia maelezo yaliyotolewa bila kuona vithibitisho waliosema wanavyo, ni kuwa BEN ameeleza vizuri tofauti na wengine walionesha wazi kuwa wanawachuki na viongozi wa chama hasa Dr Slaa kwani katika maelezo yao wameibua hoja zingine au wameporomosha matusi kwa viongozi hao hali inayotufanya tumwamini BEN katika maelezo yake.
ZITTO ni kamanda makini na mtetezi wa haki na rasilimali za taifa letu hilo hakuna atakayepinga namimi tokea mwanzo nilipenda ZITTO akabithiwe chama pindi kamanda Mbowe atakapoachia madaraka, lakini kwa tuhuma hizi hata kama si za kweli lakini itakuwa vigumu kumwamini ZITTO kwa kumpa madaraka ya juu ndani ya chama. kwa kuwa hatupendi kuwapoteza makamanda wenzetu, bado ZITTO ananafasi ya kuaminika ndani ya chama kama atafanya mambo yafuatayo;

[1] kujielekeza zaidi kujenga chama akishirikiana na makamanda wenzake.
[2] kuacha kuibua hoja zinazoleta mkanganyiko ndani ya chama.
[3] kushirikiana vizuri na viongozi wenzake katika masula mbalimbali.
[4] kuacha tabia ya kuonesha kupenda madaraka kuliko kuwatumikia wananchi.
[5] kuvumilia pale anapoona anakosewa na kisha kutatau kwa njia bora zaidi.
[6] kupunguza Ukigoma kwani hii inaibua ukanda na ukabila
[7] kuacha harakati za chinichini ambazo hazina manufaa kwa chama na taifa.
makamanda bado tunamuhitaji ZITTO tumshauri akituelewa tusahau yaliyopita na tuendeleze mapambano. Naomba kuwasilisha!!!.

tatizo wachawi kama walivyo mateja huwa hawajirudi, dogo ni kigagula hawezi ku-back down, ukijumlisha na kipaji cha ubishi ndo balaa, anatakiwa kufanyiwa isolation kama mkoma.
 
Vijana naona wengi hamfahamu mnalotaka na hata mkipata pia mtashangaa kwanini tumepata kwa kuwa mlichokuwa mnataka hamkifahamu.

Kwanza kuna jambo moja ambalo afrika linasumbua sana ni pale kiongozi yoyote anapoambiwa kuwa umekosea mara zote huwa hawakubali kukiri makosa yao.

Pili nipale kunapotokea mtu ambaye anasimamia kwenye kila anacho kiamini nalo huwa ni kosa, he he kwisha mnadai kuwa mnasimamia kwenye demokrasia ni demokrasia gani hii ambayo si ruhusa kusema utakalo kwa kuwa utawauzi ma bwanyenye.

Leo hii nimeshangazwa kuona kuna mtu ana hoji kwamba zitto analeta ukigoma na kuna wajinga wachache wana unga mkono, hebu nijulisheani kuwa watu wangapi ambao zitto anawatumia huko chadema kutoka kigoma, kwanini mnataka kuzusha jambo ambalo halipo ni ukweli usiofichika kama chama cha chadema kina ukanda hasa wa kaskazini, but the only point ya kuondoa hili si kuzua kama zzk ndio analeta mambo ya ukanda.

Pia naenda mbali mtoa mada anamuhusisha zkk na dini, he he imani ya mtu kamwe haiwezi kumfanya kuwa mtumwa kwa mtu mwingine kama imani yake inamwambia asimamie haki basi kamwe asirudi nyuma, na wala asiogope na fahamu sana kuna watu wengi wapo chadema lakini hawataki kuguswa wala kuambiwa kama wamekosea

Kuna mtu ameambiwa anayo kadi ya ccm naona watu wengi wametokea mumtetea sana, lakini na uhakika kama ungekuwa wewe zkk umeambiwa kuwa una kadi ya ccm ingekuwa shida na mashaka tele na hadi hivi tunaongea ungekuwa umesimamishwa uwanachama.

Ila kwa kuwa ni mtu kutoka kanda yao naona hata mwenyekiti wa chama amenyamaza kama si yeye, lakini na kusifu kijana ulipo waambia kwenye kikao kwanini Dr awena kadi hii atoe maelezo siku ya pili ndio kina saa tisa wakaibuka he he saa tisa nafahamu hana uwezo wako na ni vema mkuu ujifunze kuto jibishana na watoto wadogo kwenye siasa kama saa tisa.

Saa tisa anatafuta umaarufu ila kama anataka siasa asubiri 2015 aje kigoma kaskazini kwa kuwa wewe utakuwa umepumzika ajaribu kurusha karata yake, lakini leo hii watu wote wanaokuonyesha kidole wamesahau kuhusu wewe.
 
Kijana Zitto hasafishiki. Kilichommaliza ni uroho wa madaraka na kiburi cha kudharau wengine na hususani wazee waliomfundisha kazi. Ukweli ningekuwa mimi sasa ni kustep down na kuanza shughuli nyingine basi. Siasa zake
zimegota hapo.
 
Hii ni sehemu ya nukuu katika makala inayopatikana https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...2009-kuhusu-anguko-la-zitto-je-limetimia.html

Makala hiyo ya AbsolomKibanda (Tanzania Daima) - Jumatano, 26 Agosti 2009, iliwekwa humu kwa hisani ya
Pasco wa JF.

katika uzi huo Zitto Z. Kabwe alinukuliwa kutamka yafuatayo, (font ya rangi blue iliyokolezwa).

“...CHADEMA ndiyo imenipa umaarufu mimi… mimi si maarufukuliko chama. CHADEMA ni taasisi, ni chama ambacho kina misingi ya uanzishwajiwake.

“…(Wanasema) eti nilishinda kwa umaarufu wangu binafsi, si kweli. Niligombeaubunge nikitokea shule, sikuwa najulikana. Nilikuta ‘grassroots network’ yachama, (chama) hakikujengwa na mimi.

“CHADEMA ilijengwa na uongozi uliokuwepo, nilikuta uongozi ‘intact’ (imara).Katika kila kijiji kulikuwa na uongozi na hata katika vitongoji vyote. Wakatinaingia kugombea ubunge kulikuwa na wanachama wa CHADEMA wenye kadi wanaofikia10,800 katika jimbo zima. Hawa sikuwatafuta mimi, niliwakuta na ndiowaliofanikisha ushindi wangu.

“...Katika mazingira kama haya utasemaje kuwa mimi ni maarufu kuliko chamawakati chama ndicho kimenipa umaarufu?

“...CHADEMA ni chama ambacho wenyeviti wake wastaafu wanaendelea kuenziwa nakuhudhuria vikao vyote vya chama… ‘institutional memory’ ipo kuliko katikavyama vingine vya upinzani.
“...Alipohama (Dk. Aman Walid) Kabourou, wengi walidhani ndiyo mwisho waCHADEMA Kigoma, lakini leo hii CHADEMA ni moto Kigoma kuliko ilivyokuwa awali.”

Ni jambo la ajabu kwamba, karibu miaka miwili tangu Zitto mwenyewe akirikutambua kuwapo kwa njama hizo za kumkosanisha na viongozi wenzake na penginekukihujumu chama chao, anaonekana akiingia katika mtego ambao miaka kadhaailiyopita ulipata kukinasa chama kingine cha NCCR Mageuzi kiasi cha kukifanyaleo hii kushindwa kufurukuta hata kufananishwa na baadhi ya watu kuwa ni sawana shirika lisilo la kiserikali (NGo).

Naomba wana bodi wenzangu tuchambue na kuangalia jinsi Zitto anavyocheza na maneno (hasa ktk mwanga wa mambo yaliyofunuliwa hivi karibuni na akina Mchange, Shonza, Saanane na yeye mwenyewe).

Kifupi kuna inconsistence kubwa kati ya hayo aliyoyasema 2009 na maneno anayopenda kutumia leo "....
CHADEMA kuna damu yangu, kuna muda wangu, jasho langu...." nk

Kama alijua/anajua kuna watu waliomtangulia na wakafanya kazi na yeye alifika kuongeza nguvu, Je!:-
1) Sasa hii kibri yote ni ya nini? Na je ni kwa nini tusiamini yeye ni pandikizi la CCM/TISS?
2) Kwa nini amekuwa na hisia kuwa anakuwa victimized (hasa na viongozi wenzake)?
3) Kwa nini aliflikiri/anafikiri kuwa na watu kama PM7 (miongoni mwa vikundi vingine) ni sehemu ya mkakati wake kisiasa?
4) Kwa nini yeye?

Hivi vinamwonesha Zitto kuwa ni mtu mwenye mapungufu makubwa kifikra, kisiasa, kiuwezo na kimkakati. Ana haki ya kuwa na ndoto zozote lakini atazifikia vipi ndoto zake hilo ni swali kubwa sana na zito kwake.

Hatuwezi kuwa na kiongozi wa Taasisi yoyote nyeti ambaye anabadilika badilika, mtu asiye na agenda ya wazi na yenye manufaa ya umma hatufai. Ni hatari mno!

Hivi hizi story za hawa wasaliti, wanafiki na wazandiki haziiishi tu jamani? nakereka hadi basi, haya leteni tutasoma na kukomenti mwaya
 
Back
Top Bottom