Zitto; jipange bado nafasi ipo.

Zitto; jipange bado nafasi ipo.

mantegi

Member
Joined
Oct 16, 2012
Posts
27
Reaction score
20
Wanajf, mnyukano uliokuwa ukiendelea hapa jf kati ya ZITTO na BEN umetufundisha mengi. Tukiamua kuhukumu kwa kutumia maelezo yaliyotolewa bila kuona vithibitisho waliosema wanavyo, ni kuwa BEN ameeleza vizuri tofauti na wengine walionesha wazi kuwa wanawachuki na viongozi wa chama hasa Dr Slaa kwani katika maelezo yao wameibua hoja zingine au wameporomosha matusi kwa viongozi hao hali inayotufanya tumwamini BEN katika maelezo yake.
ZITTO ni kamanda makini na mtetezi wa haki na rasilimali za taifa letu hilo hakuna atakayepinga namimi tokea mwanzo nilipenda ZITTO akabithiwe chama pindi kamanda Mbowe atakapoachia madaraka, lakini kwa tuhuma hizi hata kama si za kweli lakini itakuwa vigumu kumwamini ZITTO kwa kumpa madaraka ya juu ndani ya chama. kwa kuwa hatupendi kuwapoteza makamanda wenzetu, bado ZITTO ananafasi ya kuaminika ndani ya chama kama atafanya mambo yafuatayo;

[1] kujielekeza zaidi kujenga chama akishirikiana na makamanda wenzake.
[2] kuacha kuibua hoja zinazoleta mkanganyiko ndani ya chama.
[3] kushirikiana vizuri na viongozi wenzake katika masula mbalimbali.
[4] kuacha tabia ya kuonesha kupenda madaraka kuliko kuwatumikia wananchi.
[5] kuvumilia pale anapoona anakosewa na kisha kutatau kwa njia bora zaidi.
[6] kupunguza Ukigoma kwani hii inaibua ukanda na ukabila
[7] kuacha harakati za chinichini ambazo hazina manufaa kwa chama na taifa.
makamanda bado tunamuhitaji ZITTO tumshauri akituelewa tusahau yaliyopita na tuendeleze mapambano. Naomba kuwasilisha!!!.
 
Kweli kaka umenena vyema...wakina juliana shonza je? Na wenzake?? wapiga porojo itakuaje??
 
8. Akubali kuburuzwa na genge la wachagga na wakaskazini kama kondoo!
 
ZITTO hafai hata kidogo,ni bora kuishi na mchawi kuliko kuishi na mnafiki.Yule alishaapa kuitumikia na kuitetea CCM daima atabaki kuwa msaliti kwa CDM.Wakimuacha chama kitakufa maana ataendelea na harakati zake otherwise avuliwe vyeo vyote ndani ya CDM.
 
9. Akubali kuomba msamaha hadharani kuwa aliteleza na kuachana na kauli za ubinafsi za kusema yeye siku zote anatetea anachoamini. Hii kauli ni mbaya sana maana tunajua kuwa yeye ni muislamu kwa hiyo akipewa madaraka anaweza kusema nchi yote iitwe Kigoma na iwe nchi ya uislam.

Katika hali ya kawaida na kwa kiongozi hauwezi kutoa kauli kama hiyo. Je akipewa urais anaoutaka maana yake nchi haiwezi kuwa na viongozi wengine maana yeye ndiyo atakuwa mtaalam, mkuu wa vitengo, mkurugezi na nafasi zote maana hataweza kumwani mtu mwingine zaidi ya yeye. Hata hao wanaomtete pia hawamjui siyorahisi awasikilize atataka yeye tu ndiyo asikilizwe, kwa hiyo wanapigania wasichokijua.
 
haiwezekani eti, umfananishe ZZK na BEN, katka mnyukano. hutendi haki, ndo maana baada ya ZZK kutoa kile alichosema juu ya vuguvugu hili, binafsi nilimshauri kaa kimya. tumia maneno ya mwl JK usijibu hoja za kipumbavu. utamfananishaje na mtu ambaye amesema hajawahi kumuona zaidi ya kuwasiliana kwa njia ya simu.hata yy BEN ktk maelezo yake hajajibu hilo. jiulize iwe kwa ZZK tu . TUHUMA zitoshe kumuwajibisha hata kama si za kweli. kuna nini? yaani yy awe zezeta ndani ya chama sababu ya REMOTE. kamanda ZZK usikubali na najua hutokubali na hujakubali na siku ukikubali Tanzania itajua mwisho umefika. MAPAMBANO HAYAENDELEI.
 
Zitto ameshauriwa sana jamani,kuna wazee humu wameshauri sana lakini Prezzo amejaa kiburi na ujuaji!

Zitto hawezi kubadilika kutoka kwenye umimi,ningeshauri afanye kazi nyingine kama ualimu pale UDSM.

Zitto anataka kufanya kazi za chama anavyotaka yeye na sio as a collective responsibility!

Nasubiri kuona nini CDM watafanya nini!
 
Mkuu upo sahihi. Tatizo akili za watanzania wengi ni Kama kuku, na malamnyingi imekua inawagharimu, Leo wako ivi baada ya siku kazaa wanageuka, mwishowe wanabaki kulalama bila sababu za msingi, hawa wote wanao mchefua zitto, 2005 alikua kila kitu kwao, Leo wamesahau, 2005 hawa hawa wenye akili fupi walimfagilia sana JK na kusema hapo ni penyewe Leo hii wanajuta. Msimamo hakuna na wala hawajui wanacho hitaji
 
Why always Zitho?lisemalo lipo!you are a bitrayol
 
haiwezekani eti, umfananishe ZZK na BEN, katka mnyukano. hutendi haki, ndo maana baada ya ZZK kutoa kile alichosema juu ya vuguvugu hili, binafsi nilimshauri kaa kimya. tumia maneno ya mwl JK usijibu hoja za kipumbavu. utamfananishaje na mtu ambaye amesema hajawahi kumuona zaidi ya kuwasiliana kwa njia ya simu.hata yy BEN ktk maelezo yake hajajibu hilo. jiulize iwe kwa ZZK tu . TUHUMA zitoshe kumuwajibisha hata kama si za kweli. kuna nini? yaani yy awe zezeta ndani ya chama sababu ya REMOTE. kamanda ZZK usikubali na najua hutokubali na hujakubali na siku ukikubali Tanzania itajua mwisho umefika. MAPAMBANO HAYAENDELEI.

We juha acha kutuona vichwa maji! Ben kaweka hapa mawasiliano yake na Zitto tena mara kibao mbona Zitto hajakana?

Daima ukisimama upande wa giza huwezi kushinda mwanga!

Muasi mkuu amepigwa wengine mnahangaika bure na hamchomoki safari hii!
 
Mkuu upo sahihi. Tatizo akili za watanzania wengi ni Kama kuku, na malamnyingi imekua inawagharimu, Leo wako ivi baada ya siku kazaa wanageuka, mwishowe wanabaki kulalama bila sababu za msingi, hawa wote wanao mchefua zitto, 2005 alikua kila kitu kwao, Leo wamesahau, 2005 hawa hawa wenye akili fupi walimfagilia sana JK na kusema hapo ni penyewe Leo hii wanajuta. Msimamo hakuna na wala hawajui wanacho hitaji

Acha kutuletea historia! kazi ya historia ni kutunza kumbukumbu lakini sasa tunazungumza ya leo! jibuni hoja za Ben acheni kumtetea kipuuzi Prezzo!

Kwanza hamumsaidii zaidi ya kuongeza chuki!
 
Acha kutuletea historia! kazi ya historia ni kutunza kumbukumbu lakini sasa tunazungumza ya leo! jibuni hoja za Ben acheni kumtetea kipuuzi Prezzo!Kwanza hamumsaidii zaidi ya kuongeza chuki!
Mtoto akililia kiwembe mpe! Baadae mtajua ukweli
 
We juha acha kutuona vichwa maji! Ben kaweka hapa mawasiliano yake na Zitto tena mara kibao mbona Zitto hajakana?

Daima ukisimama upande wa giza huwezi kushinda mwanga!

Muasi mkuu amepigwa wengine mnahangaika bure na hamchomoki safari hii!

sishangai lugha ulioanza nayo, yawezekana unakujenga zaidi. nacho hicho ni kipaji wachache wanaojaliwa nacho toka kwa huyo anayevigawa vipaji vya aina hiyo. KUMBUKA NA ZINGATIA ; ZZK, amesema hajawahi kukutana na BEN zaidi ya kufahamiana kupitia simu. ambazo hata ww umeziona sms hizo. maana ya kukutana ana kwa ana nadhani inafahamika. naamini CDM ni waungwana na Mungu kawabarikia uungwana.
 
Mtoto akililia kiwembe mpe! Baadae mtajua ukweli

Sasa unaongea nini? Tutajua ukweli gani while humu JF tu tayari Ben kawafunika na mpaka sasa ni blah blah tu!

Hamna hoja zaidi ya kumpa kichwa bure Zitto na yeye alivyo mbinafsi anafurahia sifa za kijinga.

Dr Slaa alitoa mfano pale Mh Sitta alipomsifia yeye na kumponda Mbowe,Dr Slaa alimkata kilimilimi Sitta hadi leo hana hamu!

Jibuni hoja za Ben na sio vitisho vya kuroga Panya!
 
sishangai lugha ulioanza nayo, yawezekana unakujenga zaidi. nacho hicho ni kipaji wachache wanaojaliwa nacho toka kwa huyo anayevigawa vipaji vya aina hiyo. KUMBUKA NA ZINGATIA ; ZZK, amesema hajawahi kukutana na BEN zaidi ya kufahamiana kupitia simu. ambazo hata ww umeziona sms hizo. maana ya kukutana ana kwa ana nadhani inafahamika. naamini CDM ni waungwana na Mungu kawabarikia uungwana.

Angalia mnavyozidi kuumbuka, kwa kuongezea Zitto alisema wamewasiliana na Ben kama mara 2 au tatu kwa simu lakini ushahidi uliowekwa na Ben ni mawasiliano mengi tu tena wanaonekana wanafahamiana!

Hii haiwasaidii zaidi ya kutubu na mrudi kundini kuelekea ukombozi wa pili wa Tz!
 
nashukuru umenielewa na umejitahidi kuuzaliwa upya ,jenga chama chako kwa hoja za kiungwana ,matusi vitisho, kebehi naamini havitowasiadia zaidi ya kuonyesha rangi zenu zote na kuharibu chama chenu. inaeleweka mtu mzima anapoeleza kuwa nimewasiliana na mtu fulani kama mara mbili hivi.maana yake yaweza kuwa 3,4,5,6 yaani chache ambazo hazionyeshi ukaribu kihivyooo.
 
Back
Top Bottom