Zitto jibu hili tafadhali


Unaharibu sifa ya Wazaramo wenzio kwa kuwa na akili iliyojaa maneno machafu. Hivi ukiandika bila kutoa maneno machafu hujengi hoja? bahati mbaya kwako mimi si mwanachama wa Chadema na usifikiri kila aliye kinyume na Zitto ni Chadema. Mimi nina mtizamo chanya wa mabadiliko katika nchi yetu. badilika ndugu matusi hayakufikishi popte...na usisahau kuosha kinywa chako kwa Detol maana kitakuwa na harufu ya kinyesi kwa maneno hayo...looooo!!!
 
Wakati wapinzani wanavutana, basi watawala wanachekelea tu. Hii nchi maCCM watatawala milele mi nakwambia kwa akili zetu hizi ndogo za kutengeneza propaganda kama hizi zisizokuwa na maana badala ya kutengeneza strategies za kuingoa CCM madarakani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…