Zitto jibu hili tafadhali

Napata shaka na uwezo wa kielimu, ufasaha wa kujieleza na usahihi wa madai ya mleta mada. Mfano anasema kakadiria kuwa mali za ZZK zinafikia Bil 1.8. Umetumia vigezo gani kufanya hesabu hizo? Kwani ZZK hana kazi zingine za kumwingizia kipato ni bunge peke yake??? Au umetumwa ndg yangu ushachukua chako mapema ili umchafue jamaa
 
Mtoa Mada Umesema Uongo Hapo Kwenye Kumiliki Gari Aina Ya Hummer, Zitto Mwenyewe Alihojiwa Na Clip Yake Niliisikia Hiyo Gari Ameshaiuza Siku Nyingi Sababu Ilikuwa Inamgharimu Sana Kuihudumia!
 
Hakuna ugonjwa mbaya duniani kama husda,, hasidi ni mtu hatari sana
Zito amepiga hela sana mifuko ya jamii.hilo halina ubishi kaka zito na hatuhitaji kulibishia kwani waliokupa wanathibitisha hilooo.
 
We ndondocha umesoma mali alizonazo zito alikiri kuwa na nyumba mbili kigoma.acha kujitoa ufahamu
 

Yatakushinda, wacha umbea wewe vinginevyo mwaga ushahidi hapa! Angalia Sana sheria ya makosa ya mitandao isije kukubana kwa umbea umbea!
 
Wanaume hatuna wivu namna hii labda useme jinsia yako ya kweli ni ipi...Mwanaume huwezi kuwa na roho ya husuda namna hii kwa mwanaume mwenzio yaani post ya namna hii ilifaa aweke mke wako kama unaye sio janamume kama wewe

#Zitto
 
Tujadiri kwa facts zaidi mwenye kuwa Na ushahidi weka hadharan Lasivyo hiyo sheria mpya ya cyber crime itakula vichwa sana kma ikisimamiwa maana jambo lolote utakalopost kama halina ushahidi n tatizo
 
Yatakushinda, wacha umbea wewe vinginevyo mwaga ushahidi hapa! Angalia Sana sheria ya makosa ya mitandao isije kukubana kwa umbea umbea!

Usiwe na hasira nimeweka hapa kwa nia njema kuwa Zitto atoe ufafanuzi wa hili na si vinginevyo. kashfa na matusi sio hoja ni dalili za akili finyu.
 
Wenzake wakiwa wanakopa na kuspendi na madem dodoma.yy anawekeza.miaka kumi ni mingi sana kama utaitumia hela ya mbunge vizuri
 

yani kuna watu vichwani maji ya madafu kabisa..kweli mkuu huyu jamaa anafit sana global publishers, hata uandishi wake wa kupepesuka sana,tufike kipindi watanzania tukomae kiakili na mawazo,siyo huko chini tu...2015 bado watu wanaendekeza porojo, udaku , umbea ukileta habari yako na facts zenye uthibitisho mbona mada ingekua nzuri sana,ila mnakurupuka mwishowe ndo haya.....
 

Kwa siasa za Tanzania ili uitwe mzalendo ni lazima uwe maskini? sidhani!!!!! :juggle:
 
wewe rafiki ndiyo unatakiwa kuogopwa kama ukoma, ngojea uchaguzi, kitaeleweka nani mzalendo Zito vs Mbowe/Slaaa
 
Wanaume hatuna wivu namna hii labda useme jinsia yako ya kweli ni ipi...Mwanaume huwezi kuwa na roho ya husuda namna hii kwa mwanaume mwenzio yaani post ya namna hii ilifaa aweke mke wako kama unaye sio janamume kama wewe

#Zitto

Umepanic Brother!! pia nadhani ulielewa lengo ni kumchafua Zitto kumbe lengo sio hilo kabisa..pole
 
Huna proof kwa hiyo ni umbea tu!
 

Umepanic Brother!! pia nadhani ulielewa lengo ni kumchafua Zitto kumbe lengo sio hilo kabisa..pole

lengo ni kujaribu kumchafua tu maana hamna uwezo wa kumchafua Mzalendo zitto badala ya kupiga kelele Dj mbowe na Padre Slaa waweke mali zao hadharani mnapiga kelele kwa mtu ambae wala hawahusu...Mtu mshamchomoa kwenye chama chenu cha kikanda sasa chokochoko za nini.Mume umemuacha mwenyewe kaenda kuoa mke mwingine wewe chokochoko hazihishi.....mjinga mmoja wewe

#Zitto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…