Zitto jibu hili tafadhali

Mu-sir ...wale wanao uza kondom, wazee wamichepuko nao pia ni non profit organization, na wao wanajiendeshaje !? :noidea:
Hivi wewe maswali yako unayouliza huwa unaushirikisha ubongo wako kweli ??????
 
Mu-sir ...wale wanao uza kondom, wazee wamichepuko nao pia ni non profit organization, na wao wanajiendeshaje !? :noidea:

Haya ndiyo maswali tnayohitaji yajibiwe na huyu muheshimiwa..kiukweli mimi sijui non profit organization inendeshwaje.

 

Ukichangia kwa uwazi zaidi pasipo hasira utajenga hoja nzuri hakuna Bavicha wa Bawacha hapa ni Hoja tu..karibu

Kwani Zitto c mshamfukuza mnamfatafata wa nn? Mbona yy yuko kimya na mambo yake... Mnamtafuta nn? Anawaumaa, au?

Hakuna uchama na wala mimi sina uchama hapa kama umeelewa msingi wa hoja yangu.
 

Mkuu embu nipe standards za udaku na viwango vya hadhi ya habari hapa JF. umeelewa msingi wa hoja au unachangia tu kwa sababu una access ya JF.

source ya habari hii kama hukusoma vizuri ni mitandao ya kijamii kama ilivyo JF pia elewa acha kukariri.
 
Duu, nawe, ndo akili gani? We unamilki nini, Mungu akurudishe akhera kama huna akili ya kuzalisha maradufu

Kamwe usitumie hasira na mawazo mgando elewa habari kwanza kabla ya kuchangia hapa si chitchat mkuu
 
siwezi kupoteza mda kwa ksoma hekaya ya kusimuliwa, jamani watanzania hebu tujaribu kuacha sias nyepesi na zisizo na tija kila kukicha anandikwa zitto humu ni kweli zito anaweza na ni mwanasiasa makini, hivi la kumuandama kila kukicha ni kuzidi kumupa umaaurufu, wakti tayari umaarufu anao jaribu kuandika logic hata kama umesoma kwa gazeti hebu tumia akili yako kuchambua maana hawa waandishi wa sasa mpaka mbunge aseme au furani aseme ndo wanaandika,
 
wewe nenda kwa mtei mbowe slaaa tupe mali zao tuone achaa hizo, asiyeijua cdm ndiye utakaye mweleza hizo porojooo zako zito amethubutu, hao je ???????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
 
mwandishi umechelewa ndg huyo si saizi yenu na hachafuliki kwa staili hii. ungeanza na Mbowe ututajie mali zake tuone nae ni mzalendo kweli?
 
Hiyo iliyotajwa ni thamani ya mali zinazojulikqna tu, je zile zisizofahamika au kuwekezwa kwa majina mengine ya marafiki kama ile ya Leka Tutigite zina thamani gani mbali ya cash aliyo nayo?[/Qmajungu, kwani zzk amewafanya nn c mumuache jamani,
 

Vielelezo tafadhali maana tumeshachoka na maneno ya umbea kuhusu zitto
 

Vip kuhusu mbowe? Anamiliki nini? Au naye maskini kama alivyokuwa nyerere?
 

wewe unayepingana na mtoa hoja huna akili.wewe unafikiri zitto ni mzalendo au msaka tonge?wakati anapiga vita kuchukua posho bungeni kumbe yeye ana madili yake yanayomuingizia hela.zitto ni janga la kitaifa.ni wa kuogopa kama ukoma yaani hata ubalozi wa nyumba kumi hafai
 
wabongo povu limewatoka mpaka midomo imevunda,zitto ni msomi na ana vyanzo vingi vya mapato kutokana na mambo yake binafsi xaxa wewe poyoyo unayeuliza swali,je unamdai? acha tabia za kike!
 

Mwanzoni nilianza kumchukia zitto, lakini kwa hizi thread za kijinga,kizushi,kinafki na zilizojaa chuki dhidi yake bila ushahid, nimejikuta naanza kumkubali zitto na chama cha wazalendo na kuwadhara hao wapika majungu na chama chao
 
Hujauliza swali hapo ww kilaza bali umeeleza porojo zako zisizo na mashiko.Peleka upuuzi wako ufipa au facebook ,Zitto hana muda wakukujibu mpumbav kama wewe pa1 na viongozi wako.Tunakijenga chama tu hakuna muda muda wakupoteza
Umeelewa kichwa cha habari mkuu? hebu kisome tena.
 
Mh.Zitto ni mtu muelewa,binafsi naamini kuna siku atafafanua kwa mapana namna gani na fursa alizotumia kupata huo utajiri!
Tuvute subira!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…