Zitto,hoja yako imeishia wapi?

Zitto,hoja yako imeishia wapi?

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,346
Reaction score
26,138
Ile hoja yako ya mabilioni ya Uswisi imeishia wapi? Umeshapewa mrejesho wa Serikali juu ya kinachoendelea kuhusu hoja hii? Kumbuka Maazimio ya Richmond, Utetezi wa Lema nk

cc Zitto
 
Last edited by a moderator:
ule mfupa ni mzito kaka - unaweza jilaumu kwa nini ulijitangazia kuutafuna. your dealing with super power people who own billions and you don't have a single cent.
 
ule mfupa ni mzito kaka - unaweza jilaumu kwa nini ulijitangazia kuutafuna. your dealing with super power people who own billions and you don't have a single cent.
Zitto yuko busy na ujenzi wa bomba la gesi kutoka Mtwara mpaka Dar ,swala la mehela ya uswis ameshalisahau Mkuu
 
Ile hoja yako ya mabilioni ya Uswisi imeishia wapi? Umeshapewa mrejesho wa Serikali juu ya kinachoendelea kuhusu hoja hii? Kumbuka Maazimio ya Richmond, Utetezi wa Lema nk
cc Zitto
Haikuwa na mshiko ilikuwa promo... cku moja Gavana alisema uliona wapi watu wenye fedha chafu wakaweka fedha zao benki.
 
TZ huo ulikuwa upepo umepita!
 
Umeshawahi kujiuliza ile kesi ya chadema ya kumshitaki Nape kwa kuwachafulia jina imeishia wapi?

Hizi ni siasa za kuwachezea watu akili tu, hawako serious hawa watu...
 
ule mfupa ni mzito kaka - unaweza jilaumu kwa nini ulijitangazia kuutafuna. your dealing with super power people who own billions and you don't have a single cent.

Kweli mkuu fuso lakini kumbuka mubarak wa misri na hata gadafi walingolewa....
 
zito mwenyewe anambelambwela hajui aanzie wapi/ swala la kuchunguza mabilion ya uswiz linafanywa na polisi wa kimataifa yaan interpool sio kiongozi mwenye dhamana ya wananchi.
 
Wakuu si mlimsikia Madam Spika akitangaza kuwa kuanzia siku ile alipolikoroga kupita kiasi, marufuku Hoja binafsi, lakini anakaribisha Hoja zenye ubinafsi! Zilikuwa bado ziko nyingi tu, hata ya kumuondoa PM nadhani.
 
Ile hoja yako ya mabilioni ya Uswisi imeishia wapi? Umeshapewa mrejesho wa Serikali juu ya kinachoendelea kuhusu hoja hii? Kumbuka Maazimio ya Richmond, Utetezi wa Lema nk

cc Zitto

Si mliambiwa mrejesho Bungeni ni Bunge la Mwezi April, 2013?? Au tumeishasahu???
 
Zitto siasa kapumzika kidogo. Kama ningekuwa rais wa CDM leo ningemchagua kuwa waziri wa Vijana, Michezo na Utamaduni..anafaa sana!
 
Back
Top Bottom