BABU KIDUDE
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 1,587
- 918
Zitto kaishamalizana na Chadema lakini cha kushangaza Chadema bado wanaofuata mpaka ACT - Wazalendo.
Toka lini wafuasi wa Chadema wakawa washauri wa ACT - Wazalendo.
Mkuu ungeaanza kwanza na Mbowe amekuwa kama mfalme anajiongezea muda tu na kuchakachua kipengere cha katiba ya chama hamna ukomo wa uongozi sana Mbowe anaendelea kwa Mwenyekiti wa Chadema mpaka achoke mwenyewe.
Badala ya kupambana na hili unapambana na Zitto ambaye hayupo Chadema.
Wewe kuniambia akili za kipimbi ulikuwa upo sawa?Duhhhh...Punguani tena...haya Ahsante
Mimi siyo ACT - Wazalendo ninachofanya ni kupinga upotoshaji wenu.nyani haoni kundule: na wewe ni mwanachama wa chama gani unaemtetea zito,kwanini usiwaacha act wajitetee wenyewe?
Wewe kuniambia akili za kipimbi ulikuwa upo sawa?
Mkuu mimi utaratibu wangu ukija kiungwana takupokea kiungwana ukija kihuni takupokea pia.
hilo jimbo la mbowe lipo wapi hapa tanzania bavicha bana.
Mkuu kuna "upotoshaji" Zito anafanya majukwaani kwamba CCM mafisadi na amewaangusha mara kadhaa na nchi ipo mfukoni mwa Rugemelira,em kubali au pingaMimi siyo ACT - Wazalendo ninachofanya ni kupinga upotoshaji wenu.
Toa unafiki wewe kuwa serious kwako ni kumsifia Mbowe na Slaa.huu ni mchango wa Mwanachama Mwandamizi JF.Shaaaame hata kama umejipambanua kuwa mnafiki ila uwe serious sometimes.CCM na Chadema ambao kutwa mitandaoni wanafanya ubishani hawajamalizana??!!!!Zito ambaye moja kati ya singo zake majukwaani ni kujitapa kuiangusha serikali ya CCM,hawajamalizana??!!wa wapi huyu
haaah haaah umeshindwa kujibu hadi aibu.leo nipo nyuma yako mpaka tumalizaneToa unafiki wewe kuwa serious kwako ni kumsifia Mbowe na Slaa.
Huyo zitto si ndo mfalme wa ACT
Upotoshaji gani wakati Zitto anasema kweli kuna ufisadi serikali wa Escrow umefanywa na viongozi wakishirikiana na benki ya Kanisa Mkombozi.Mkuu kuna "upotoshaji" Zito anafanya majukwaani kwamba CCM mafisadi na amewaangusha mara kadhaa na nchi ipo mfukoni mwa Rugemelira,em kubali au pinga
Zitto kaishamalizana na Chadema lakini cha kushangaza Chadema bado wanaofuata mpaka ACT - Wazalendo.
Toka lini wafuasi wa Chadema wakawa washauri wa ACT - Wazalendo.
Mkuu ungeaanza kwanza na Mbowe amekuwa kama mfalme anajiongezea muda tu na kuchakachua kipengere cha katiba ya chama hamna ukomo wa uongozi sana Mbowe anaendelea kwa Mwenyekiti wa Chadema mpaka achoke mwenyewe.
Badala ya kupambana na hili unapambana na Zitto ambaye hayupo Chadema.
Kwi kwi kwi kwi usipasue mbavu kwa kucheka hivi na wewe kweli uwa unajiona una hoja? JF kuna vituko. Punguani kama wewe zaidi ya kumsifia Mbowe na Slaa hamna kutu.haaah haaah umeshindwa kujibu hadi aibu.leo nipo nyuma yako mpaka tumalizane
Zitto kaishamalizana na Chadema lakini cha kushangaza Chadema bado wanaofuata mpaka ACT - Wazalendo.
Toka lini wafuasi wa Chadema wakawa washauri wa ACT - Wazalendo.
Mkuu ungeaanza kwanza na Mbowe amekuwa kama mfalme anajiongezea muda tu na kuchakachua kipengere cha katiba ya chama hamna ukomo wa uongozi sana Mbowe anaendelea kwa Mwenyekiti wa Chadema mpaka achoke mwenyewe.
Badala ya kupambana na hili unapambana na Zitto ambaye hayupo Chadema.
Akili ya Zitto nyie Bavicha wote hata robo hamuwezi kumfikia achalia mbali ma boss wenu....uko wrong dogo hakuna anayemfuatafuata zito, bali yeye katika juhudi za kujiweka kwenye saisa asipotee na kukosa tonge analazimisha bifu na chadema kumbe ndo anapotea. ukitaka kujua hilo ndo maana baada ya uamuzi wa mahakama hatukuwa na habari naye tena hata alipolazimisha aandikiwe barua apande chati....
ok ok tufunge mjadala kusema kwamba Kikwete is nothing na serikali yake na system ilienda likizo kiasi cha maaskofu kujipigia hela.tunahitaji kuendelea na majizi?Upotoshaji gani wakati Zitto anasema kweli kuna ufisadi serikali wa Escrow umefanywa na viongozi wakishirikiana na benki ya Kanisa Mkombozi.
Au huajaona orodha ya Maaskofu waliopewa pesa ka Rugemalira?