Malata Junior
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 3,108
- 2,553
Mkuu hujui kuwa Zitto ni mwiba kwa CHADEMA ndio maana bado wanamfuata fuata?Zitto kaishamalizana na Chadema lakini cha kushangaza Chadema bado wanaofuata mpaka ACT - Wazalendo.
Toka lini wafuasi wa Chadema wakawa washauri wa ACT - Wazalendo.
Mkuu ungeaanza kwanza na Mbowe amekuwa kama mfalme anajiongezea muda tu na kuchakachua kipengere cha katiba ya chama hamna ukomo wa uongozi sana Mbowe anaendelea kwa Mwenyekiti wa Chadema mpaka achoke mwenyewe.
Badala ya kupambana na hili unapambana na Zitto ambaye hayupo Chadema.
Mkuu vipi Mbowe amekuwa supreme leader pamoja na mgombea urais wa kudumu Dr.Slaa hawa wote marufuku kuwapinga ukijaribu tu kuwapiga utajuta utafukuzwa kama paka.Mkuu Mimi si mwanaccm, ni mwanachama muaminifu WA CHADEMA ila napenda wanasiasa watende vile wanavyonena.
Huyu Bavicha kaokota maneno kwenye vijiwe vya mbege na kuleta JF anajua kabisa wapo pro-Chadema watakubaliana naye bila kuhoji hali muradi katajwa Zitto.Weka ushahidi wa unachokisema, tunachojua yeye alisema/alitia nia ya kugombea ubunge Kigoma Mjini. Hakuna mahala wala maandishi yanayoonesha kuwa ameteua/ameweka watu wake kugombea nafasi mbalimbali uchaguzi mkuu ujao.
Mkuu vipi Mbowe amekuwa supreme leader pamoja na mgombea urais wa kudumu Dr.Slaa hawa wote marufuku kuwapinga ukijaribu tu kuwapiga utajuta utafukuzwa kama paka.
sorry nimekuchanganya na ManDla JrMkuu Mimi si mwanaccm, ni mwanachama muaminifu WA CHADEMA ila napenda wanasiasa watende vile wanavyonena.
Huyu Bavicha kaokota maneno kwenye vijiwe vya mbege na kuleta JF anajua kabisa wapo pro-Chadema watakubaliana naye bila kuhoji hali muradi katajwa Zitto.
Unashikiwa akili na wewe unakubali wapi Zitto kafanya hivyo?kwa hio kama Mbowe na Dr Slaa wamefanya hivo na zito pia afanye hivyo?
Akili za kipimbi hizi
huu ni mchango wa Mwanachama Mwandamizi JF.Shaaaame hata kama umejipambanua kuwa mnafiki ila uwe serious sometimes.CCM na Chadema ambao kutwa mitandaoni wanafanya ubishani hawajamalizana??!!!!Zito ambaye moja kati ya singo zake majukwaani ni kujitapa kuiangusha serikali ya CCM,hawajamalizana??!!wa wapi huyuZitto kaishamalizana na Chadema lakini cha kushangaza Chadema bado wanaofuata mpaka ACT - Wazalendo.
Unashikiwa akili na wewe unakubali wapi Zitto kafanya hivyo?
Mleta mada kasema yeye ni Chadema tunamwambia aanze na viongozi wake kwanza.
Na wewe ulivyokuwa punguani anaambiwa kuna jimbo linaitwa Mbowe unameza tu.