Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,558
- 109,097
Na wewe ni lini utakuwa na akili timamu? Slaa ana uwezo gani wa kumpa Ubunge Kubenea? hivi hili nalo linahitaji degree kulifahamu!!Mwanahalisi ni Gazeti la kipuuzi sana, Kubenea, nae anataka ubunge, kumbe maneno mengi kujipendekeza kwa Slaa, kumbe nia yake nae ubunge.
Gazeti la mwanahalisi halimilikiwi na chadema,kwanza naliamini kwa reliable niuz na lipo independent,hebu mtoa hoja tueleze kiongozi wa chadema alohojiwa hapo.NAAMINI UMETUMWA KWANI HUELEWI MAANA YA MAKALA? Mwambie zitto NCCR wanamtamani sana
Hata mimi huwa sizishangai ID mpya kama hii ambayo umeiregister jana na leo tu umekuwa kasuku, na wala majukwaa mengine huendi ni hapa tu kwenye siasa mnapopatia mkate wenu wa kila siku, huko tuendako msipotafuta kazi za kufanya nakuhakikishia mtauza mpaka miili yenu maana wenye pesa wote sasa wameshakuwa mabasha.
Tafuteni kazi za kufanya jamani!!
Asikuumize kichwa kaahidiwa katika mgawo mpya wa poshosisi kwa sisi
Today 09:38
#1
Member Array
Join Date : 1st February 2012
Posts : 15
Rep Power : 304
Sakata la mgomo wa madaktari :mnyika jiuzulu upesi umetuaibisha na kutufedhesha
Tulisoma tamko la Chadema kuhusu kuwaunga Mkono madkatari nchini. wengi tuliamini Mnyika leo angalipanga timu yake kabambe kumbana waziri Mkuu kuhusu mgomo huu. kitendo cha Mnyika kutopanga timu yake bungeni na kumbana waziri mkuu ni wazi mnyika ni mawnasiasa kama wanasiasa wengine wasiojali maslahi ya watz.
Mnyika yupo bizz na Hoja ya Richmond ambayo anaamini haitaleta tija kwa wananchi. hii italeta tija zaidi na mbio za urais wa CCM na sio madokta na wagonjwa.
acha uongo kama hujui piga kimya mwanahalis linamilikiwa na Antony komu kwa fedha za ruzuku za chadema,habari ndio hiyo hatupendi kuwaumua lakini mnatuchokoza,tutasema sasa.
Raia mwema,mwanahalisi na t daima yote ni chadema type, japo yanasingana kutokana na viongozi wa cdm wanaoyamiliki kutofautiana katika mabo mbalimbali huko chamani ndio maana kila mtu anakimbilia kujijenga na kumbomoa mwenzake kwenye gazeti lake,pia mbowe na kubenea ni washkaji wakubwa sana sana licha ya komu kulimiliki mwanahalisi ambalo limetekwa na mafisadi.
Ndio maana tuna shaka sana na ukaribu wa chadema na mafisadi,wanchedema mkiona hao jamaa wanawachezea kwa ku side na mafisadi nendeni CCK mkakipe nguvu kile chama.
Hivi vyama ni sawa na makoti tu ukiona koti linakubana unalivua,namsikitikia sana dr slaa masikini,yeye peke yake ndio hana gazeti na hajui uhusiano wa Lowassa, Rostam, Mbowe na komu ilivyo, angejua angeondoka zake aende CCK
mimi huna nakukwepa manake una ujinga usiomithilikaMuheshimu Mjinga uepushe balaa...
...........baba hata ww kwa porojo unaziweza!!!!!!!!!!!!Mwanahalisi ni Gazeti la kipuuzi sana, Kubenea, nae anataka ubunge, kumbe maneno mengi kujipendekeza kwa Slaa, kumbe nia yake nae ubunge.
ndani ya cdm hawa siwaanini SHIBUDA, ThELASINI, ZITTO japo zitto anapambana na anajina kubwa lakini haaminiki.Zitto kiongozi makini kabisa - ila nabii haeshimiki kwao (CDM)
wakati mwingine mnapokuwa kwenye misiba angalieni na kuweni macho mnapokuwa mnamlilia marehemu...kuna watu wanalia huku wakitoa wasifu wa marehemu hadi mtu unashangaa maana kuna mambo mengine hayapaswi kusemwa hadharani mfano hili: maneno haya hapa chini hayakupaswa kusemwa hadharani na mwombolezaji ...huku ni kutoa siri za ndani za chama..
Regia Alishinda kura za maoni katika mchakato wa ndani ya chama. Katika kikao cha Kamati Kuu mmoja wa Wakurugenzi wa Chama akasema tunaye mgombea mwingine mzuri sana, Mwanasheria. Regia akaombwa kukaa pembeni. Akakubali. Kamati Kuu ikampitisha mtu ambaye hakwenda kwenye kura za maoni na wala hatukuwa tunamjua maana tuliambiwa na mtu tunayemwamini kwamba ni mgombea mzuri. Regia hakufurahishwa na uamuzi ule lakini kwa heshima na utiifu wa hali ya juu akakubali kutogombea. Siku za kurejesha fomu za kugombea zilipokuwa zinakwisha yule mgombea akatoa nje. Hakuonekana, kwa sababu mbalimbali ambazo sisi tuliokuwa mbali na Dar es Salaam na Morogoro hatuzijui. Chama hakikuwa na namna isipokuwa kurudi kwa Regia kumwomba aokoe jahazi. Regia hakusita. Akaendesha kampeni za uhakika akiwa hana mali wala jina kisiasa.
ndani ya cdm hawa siwaanini SHIBUDA, ThELASINI, ZITTO japo zitto anapambana na anajina kubwa lakini haaminiki.
Hii ni moja tu kati ya rangi nyingi nyekundu ilizonazo Chadema.wakati mwingine mnapokuwa kwenye misiba angalieni na kuweni macho mnapokuwa mnamlilia marehemu...kuna watu wanalia huku wakitoa wasifu wa marehemu hadi mtu unashangaa maana kuna mambo mengine hayapaswi kusemwa hadharani mfano hili: maneno haya hapa chini hayakupaswa kusemwa hadharani na mwombolezaji ...huku ni kutoa siri za ndani za chama..
Regia Alishinda kura za maoni katika mchakato wa ndani ya chama. Katika kikao cha Kamati Kuu mmoja wa Wakurugenzi wa Chama akasema tunaye mgombea mwingine mzuri sana, Mwanasheria. Regia akaombwa kukaa pembeni. Akakubali. Kamati Kuu ikampitisha mtu ambaye hakwenda kwenye kura za maoni na wala hatukuwa tunamjua maana tuliambiwa na mtu tunayemwamini kwamba ni mgombea mzuri. Regia hakufurahishwa na uamuzi ule lakini kwa heshima na utiifu wa hali ya juu akakubali kutogombea. Siku za kurejesha fomu za kugombea zilipokuwa zinakwisha yule mgombea akatoa nje. Hakuonekana, kwa sababu mbalimbali ambazo sisi tuliokuwa mbali na Dar es Salaam na Morogoro hatuzijui. Chama hakikuwa na namna isipokuwa kurudi kwa Regia kumwomba aokoe jahazi. Regia hakusita. Akaendesha kampeni za uhakika akiwa hana mali wala jina kisiasa.
Hata Banza stone ana jina kubwa, kwahiyo jina sio tija.ndani ya cdm hawa siwaanini SHIBUDA, ThELASINI, ZITTO japo zitto anapambana na anajina kubwa lakini haaminiki.
mimi huna nakukwepa manake una ujinga usiomithilika
si wote tuliosoma hilo gazeti hvy ni bora uweke mambo yaliyoandikwa.