Zitto hatendewi haki ndani ya Chadema

Ile Tanzia(?) ya Zitto ilikuwa na mambo mengi ndani yake ambayo hayakupaswa kuwepo!hata zile habari za kuwa +Marehemu Regia(R.I.P),Aliingia ktk mgogoro na Afisa wa chama kuhusu chama kukabidhiwa kwa wasomi hazikuwa mahali pake,sintofahamu ya +Regia na Suzan Kiwanga haikuwa na tija kuizungumzia nyakati zile....na blaablaa nyingi alizochomekea ambazo zilhusu vikao vya ndani was nonsense!Uyu dogo ana sifa sana,kalewa umaarufu...si ajabu watu wanahisi anakihujumu chama kwa mafisadi
 

mwanahalisi ni la kina komu,nadhani unamjua komu ni wa chama gani...mwanahalisi haliwezi kuandika lolote baya la chadema huo ndio ukweli,na si sijui kwanini viongozi wa chadema wengi wanakimbilia biashara ya magazeti,komu mwanahlisi,zitto mwenyewe raia mwema,"mzee" tanzania daima..
 
Nini maana ya bifu? Mwanahalisi akiandika habari zangu basi nina bifu naye? acheni vyombo vya habari vifanye kazi zake mkid=sifiwa na vyombo vya habari tuseme ni rafiki zenu? Mawazo finyu. Mtoa mada naye huyu sijui kafikiri nini kuwahusisha uongozi wa chadema angefafanua.

 
Gazeti la mwanahalisi halimilikiwi na chadema,kwanza naliamini kwa reliable niuz na lipo independent,hebu mtoa hoja tueleze kiongozi wa chadema alohojiwa hapo.NAAMINI UMETUMWA KWANI HUELEWI MAANA YA MAKALA? Mwambie zitto NCCR wanamtamani sana

acha uongo kama hujui piga kimya mwanahalis linamilikiwa na Antony komu kwa fedha za ruzuku za chadema,habari ndio hiyo hatupendi kuwaumua lakini mnatuchokoza,tutasema sasa.

Raia mwema,mwanahalisi na t daima yote ni chadema type, japo yanasingana kutokana na viongozi wa cdm wanaoyamiliki kutofautiana katika mabo mbalimbali huko chamani ndio maana kila mtu anakimbilia kujijenga na kumbomoa mwenzake kwenye gazeti lake,pia mbowe na kubenea ni washkaji wakubwa sana sana licha ya komu kulimiliki mwanahalisi ambalo limetekwa na mafisadi.

Ndio maana tuna shaka sana na ukaribu wa chadema na mafisadi,wanchedema mkiona hao jamaa wanawachezea kwa ku side na mafisadi nendeni CCK mkakipe nguvu kile chama.

Hivi vyama ni sawa na makoti tu ukiona koti linakubana unalivua,namsikitikia sana dr slaa masikini,yeye peke yake ndio hana gazeti na hajui uhusiano wa Lowassa, Rostam, Mbowe na komu ilivyo, angejua angeondoka zake aende CCK
 
Acha fitina na majungu wewe...nani kakwambia ile ni kauli ya CDM?
 
wacha majungu ww, zitto sio kipofu wala kiziwi, anajua kusema na anaona, tabia za umbea peleka kwny forums za udaku. aggghrrr
 
nafikir katika kila jumuia au chama kuna taratibu ambazo zinatakiwa kufatwa na wanachama au viongozi'zitto kabwe kwa jinsi nilivyomjua ni mtu asiye na subira'yaani ni mtu mzima lakini akili za kitoto'hapaswi kukurupuka'hata kama yeye ndiye aliyefanya hayo haikuwa lazima kuweka peupe'chama chake kilijua mchango wake kwenye hilo nalfikiri ilitosha kabisa'kulikuwa hakuna ulazima wa kupiga kelele ili tusikie tulioko nje'kama mmegundua siku za karibuni uongozi wa chadema umekuwa kama unamweka pembeni kiaina kwa sababu hizo'huwezi kufanya mambo ndani kukimbia kuyasema publick'ndio maana kuna kitengo kinaitwa publick relation'kwangu mimi zito ni mpiganaji ambaye hajatulia pamoja na umri wake
Mkubwa'tuna shauku kubwa kuona mwisho wa maisha yake ya siasa utakuwaje'na hilo litakuwa funzo kwa wanasiasa wote!
 
chadema cha wakatoliki. Usishangae
Hata mimi huwa sizishangai ID mpya kama hii ambayo umeiregister jana na leo tu umekuwa kasuku, na wala majukwaa mengine huendi ni hapa tu kwenye siasa mnapopatia mkate wenu wa kila siku, huko tuendako msipotafuta kazi za kufanya nakuhakikishia mtauza mpaka miili yenu maana wenye pesa wote sasa wameshakuwa mabasha.
Tafuteni kazi za kufanya jamani!!
 

kwani MOD ANAKUWA NI ANTI ISLAM NA MPENZI WA CHADEMA?
 
Tukumbuke kuwa Zito alitoa kauli hiyo kwenye msiba wa Regia ambako kwa kawaida maelezo ya wasifu wa marehemu unazingatia mambo chanya aliyoyafanya wakati wa uhai wake.
 

Hapo kwenye red.... ndio pa kujiuliza
 
Zitto Kabwe ana kiherehere sana hata juzi Juma Mkamia aliomba muongozo ili ajuwe kwamba Zitto Kabwe nae ni miongoni mwa wasemaji wa ikulu!!??
Watu wa Kigoma kwenye siasa wana matatizo sana hasa hawa ambao wamechanganyika na utusi ndani yake.
wewe matola pia una utusi ndani yako,alichosema mkamia nini,alichosema zitto ni nini?,na raisi kasema nini,wewe na mkamia wote sawa tu,hoja ya zitto ndio jibu la Ikulu,wewe na pm na spika wote hamkujua
 
mods naomba id mpya zipewe miezi mitztu wa kuwa chini ya uangalizi kabla ya kupost vitu humu.
maana tunaumiza vichwa kumbe mtu kala buku 2 ili aje kuvuruga jukwaa.

asanteni kwa kunisikiliza.
 
Bado mnasomaga tu mwanahalisi mbona lishakuwa la magamba tumebakiwa na Raia mwema na tz daima basi
 
mods naomba id mpya zipewe miezi mitztu wa kuwa chini ya uangalizi kabla ya kupost vitu humu.
Maana tunaumiza vichwa kumbe mtu kala buku 2 ili aje kuvuruga jukwaa.

Asanteni kwa kunisikiliza.
ukiwa chadema hahiatji miezi 3, i min inatosha tu mkuu
 

Mwanahalisi ni Gazeti la kipuuzi sana, Kubenea, nae anataka ubunge, kumbe maneno mengi kujipendekeza kwa Slaa, kumbe nia yake nae ubunge.
 
Zitto Kabwe ana kiherehere sana hata juzi Juma Mkamia aliomba muongozo ili ajuwe kwamba Zitto Kabwe nae ni miongoni mwa wasemaji wa ikulu!!??
Watu wa Kigoma kwenye siasa wana matatizo sana hasa hawa ambao wamechanganyika na utusi ndani yake.

Matola za kitambo mkubwa?
 
mods naomba id mpya zipewe miezi mitztu wa kuwa chini ya uangalizi kabla ya kupost vitu humu.
maana tunaumiza vichwa kumbe mtu kala buku 2 ili aje kuvuruga jukwaa.

asanteni kwa kunisikiliza.

JF sio mali ya Chadema, ni forum huru kila mtu hanaweza kuchangia chochote bila kuvunja sheria na kanuni za JF.

Kwani wewe wakati hunajiunga JF Mods walikupa miezi mingapi?

Jibu hoja sio kulia lia hovyo kwa Mods, ulivyokuwa na akili ukwaju unataka members wote wa JF wawe mateka wa Chadema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…