WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
- Thread starter
-
- #41
Dr. Slaa ni mtu msafi awezi kukaa kujadiliana na mshirikina na mvivu na mwenye tamaa ya kimaslahi binafsi km zzk huyu si saiz yake ata kdogo akajadiliana na ndugu ndio akili zao zinalingana
Ndani ya chama, Slaa anakubalika makao makuu, Zitto anakubalika matawini.
Slaa anashindwa kusoma alama za nyakati, kushindana na Zitto kunamshusha daraja kila siku hasahasa ndani ya chama.
Ndani ya chama, Slaa anakubalika makao makuu, Zitto anakubalika matawini.
Slaa anashindwa kusoma alama za nyakati, kushindana na Zitto kunamshusha daraja kila siku hasahasa ndani ya chama.
Diwani wa mahakama sisi tuna akili zetu zote hatujalala we are watching you, wewe si upo pale mwanza kwa amri ya mahakama si ulisema hutatemwa sasa maliza uwenyekiti wa kamati 2015 chapa lapa huyo kigagula aka prezzo unayemuuza si mali kitu ni bidhaa mbovuKilichonifurahisha ni kwamba hawa watu wako makini sana,wote wawili wamewatumia wafuasi wao kutoa hoja na maelezo lakini wao hawajajitokeza kujibu chochote,hii inaonesha ni namn gani ni wakomavu katika siasa za nchi hii,na kwa sababu hawajafanya hivyo humu jukwaani basi wakae chini,hiki chama kinapendwa na watu na kimekua kimbilio la wanyonge hili halina ubishi,lakini vurugu na kelele zinazoendelea hizi zitawafanya watu kuwa na taharuki mwisho watakata tamaa,na ukweli ni kwamba chama bana ni watu asikudanganye mtu.
Mbona ulisha tukana hapa JF na kila aina la tusi ulimtukana DR Slaa mbona sasa unakuwa mpole rafiki yako prezzo aka matunuri aka kigagula amesoma namba kwa ushuhuda anajua namba inaishia baada ya ushuhuda wa nyie na mwenzio meya wa magumashi na wale wa Arusha anajua rungu liko karibu ndio maana anawatuma watu kama nyie muja hapa mupooze wewe tangu lini ukamsifu DR Slaa tumekufuatilia posts zako zote tunazifahamu mh diwaniKama hujui tambua hili kwamba hakuna mtu msafi hapa chini ya jua,wote kila mmoja ana mapungufu yake isipokuwa tu yanazidiana kwa hiyo kwa hiyo kauli yako hapo hauko sahihi,na ukitaka kuamini hilo mfuatilie Dr Slaa vizuri katika kipindi cha tangu mwaka ule wa uchaguzi 2010 uone kama kweli yey ni msafi!!!!
Ndani ya chama, Slaa anakubalika makao makuu, Zitto anakubalika matawini.
Slaa anashindwa kusoma alama za nyakati, kushindana na Zitto kunamshusha daraja kila siku hasahasa ndani ya chama.
Diwani wa mahakama sisi tuna akili zetu zote hatujalala we are watching you, wewe si upo pale mwanza kwa amri ya mahakama si ulisema hutatemwa sasa maliza uwenyekiti wa kamati 2015 chapa lapa huyo kigagula aka prezzo unayemuuza si mali kitu ni bidhaa mbovu
Sahihisho Dr. Slaa hana kundi, hajawahi kuunda kundi ndiyo maana hakuomba kugombea urais ila aliombwa. Kinyume ni kweli kwa ZZK. Hakuna cha kudadavua ukweli utajitenga
Kilichonifurahisha ni kwamba hawa watu wako makini sana,wote wawili wamewatumia wafuasi wao kutoa hoja na maelezo lakini wao hawajajitokeza kujibu chochote,hii inaonesha ni namn gani ni wakomavu katika siasa za nchi hii,na kwa sababu hawajafanya hivyo humu jukwaani basi wakae chini,hiki chama kinapendwa na watu na kimekua kimbilio la wanyonge hili halina ubishi,lakini vurugu na kelele zinazoendelea hizi zitawafanya watu kuwa na taharuki mwisho watakata tamaa,na ukweli ni kwamba chama bana ni watu asikudanganye mtu.
By Wabhejasana
"Hakuna ubishi kwamba Zitto anakubalika na anao wafuasi wengi na hasa ukanda wa Ziwa ambao hakuna ubishi kwamba una watu wengi,lakini Slaa naye ana kundi kubwa ingawa kwa kiwango kikubwa anaonekana kuungwa mkono zaidi na watu kutoka kaskazini ambao ukiangalia idadi yake si kubwa kama ile ya Ziwa,kwa hiyo kinachokuja kutokea hapa ni kwamba zitabaki zile kanda za kusini,kati na mashariki ambapo huko itategemea nani mwenye mvuto zaidi na kwa vyovyote ni lazima watagawana ingawa kuna mshindi lazima tapatikana bila kujali ni Zitto ama Dr Slaa"
Huku ni Uongo mkuu. kukubalika kwa Zitto kulitokana na Juhudi za DR. Slaaa,
Wabunge wengi wa Chadema wameongezeka bungezi ni juhudi za DR. Slaa
kanda ya ziwa DR. Slaa anakubalika kuliko mtu yeyote : wazeee kwa vijana , zitto labda akubalike kigoma peke yake na Tena kwenye jimbo lake.
Baada ya DR. Slaa kanda ziwa anayefuata kukubalika ni Maghufuli, ambaye sasa umaarufu wake umeanza kupungua.
Kwa kanda ya ziwa List ya wtu wanokubalika.
DR. Slaaa....60%
Maghufuli........15%
Sitta.............12.5%
Zitto..............12.5%
Nyanda za Juu kusini.
DR. Slaaa.........54%
Mwandosya.......30%
Mwakyembe.......11%
Zitto.................05%
Kusini(Lindi,Mtwara)
Membe..........54%
DR. Slaa..........36%
Zitto..............10%
Nyanda za Juu kaskazini
DR. Slaa..........70%
Lowasa...........26%
Zitto............04%
Dar + Pwani
Kikwete......48%
Dr. slaaa......42%
Zitto...........10%
Usiwalishe matango pori watu wewe mtu. hivi si juzi tu hapa jf kulikuwa na kura ya maoni huyo kipenzi chako kikapata kura aslimia ngapi? Tunajua kuwa magamba wanaamini uchaguzi ukifanyika chadema itashinda sasa nani wa kulinda maslahi yao ni huyu jamaa yao. Zk hana uwezo wa kushinda urais mana watu wanaona kuwa ni kibaraka. Hivi hujiulizi kwa nini ninyi magamba mnampenda yeye? Watanzania wa sasa ni tofauti sana na wale 1995, na hata wa 2010 ni tofauti sana na wa 2015 ambao karibia wapiga kura 85% watakuwa watumiji wa simu hivyo mpaka saa sita mchana siku ya uchaguzi mzee mzima CCM tayari atakuwa ameshanyolewa kwa kisu butu.
WABHEJASANA kila siku unalalamika kwamba Chadema inakukatisha tamaa, kwamba itakufa/kuparaganyika hivi karibuni. Lakini wewe ndiye unashabikia mambo ya Chadema hapa JF kwa kiwango kikubwa sana. Kila ukiona thread ya Chadema lazima uweke kambi, na kama hiyo haitoshi umeendelea kuanzisha thread zinazoihusu Chadema.
Sasa huu kama sio upopo ni nini?
Kaka Nape wala hawatafika 2015 wanasambaratika mwakani tu kama si mwaka 2014,hivi unadhani watafika wakati huo kama sasa hivi wameanza kulumbana na hasa ukizingatian kwamba ni watu ambao hawana mizizi imara?,wewe huko umekwenda mbali sana wala hata hawafiki Mkuu.