Zitto, CHADEMA na Mandela wambeba Kapuya

Margwe

JF-Expert Member
Apr 30, 2008
255
48
Kwa muda nimekuwa nikifuatilia sakata la Kapuya.

Nimeona imekuwa overtaken na movie ya Zitto, Chadema na sasa nategemea Mandela ataongoza headlines!

Kweli bongo kila kitu upepo tu unapita tu.
 
Kapuya asidhani watanzania wamesahau, bado tuko nae tu hadi sheria ichukue mkondo wake.
 
Yaani Kapuya saga limesahaulika, lipo Kapuni sasa.

Jamaa anayo bahati.
 
Back
Top Bottom