GE2025 Zitto: CCM inamuogopa Mpina na sababu walikuwa nae ndani ya chama chao

GE2025 Zitto: CCM inamuogopa Mpina na sababu walikuwa nae ndani ya chama chao

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
"Mnajua kwamba tunapambana kwa ajili ya mgombea wetu wa urais, kesi inaendelea. Tunatarajia hivi karibuni tutapata maamuzi, na sisi tumejiandaa kesi itakapokishwa tu. Hata kama zimebaki siku kumi, tutatumia hizo hizo kuendelea kutafuta kura, na tunafahamu Chama cha Mapinduzi kinamuogopa sana Mpina, na sababu ya kumuogopa wanajua wao walikuwa nae ndani ya chama chao.

Zitto Kabwe, akimuombea kura mgombea ubunge jimbo la Mbagala, Jamal Rwambow, kwa tiketi ya chama hicho pamoja na madiwani wa kata ya Kijichi na Mbagala Kuu, wakati wa kampeni ya nyumba kwa nyumba iliyofanyika jimboni hapo, mkoani Dar es Salaam, Oktoba 01, 2025."

 
Back
Top Bottom