Zitto cautions against resource curse

Zitto cautions against resource curse

Hakika wakristo ni wadini sana.Sasa kijana wa watu mnmpiga mawe kisa dini Yake.Tuone safari yenu Kama hata itafika nusu ya safari.Kwa kudharau dini zingine na huo ukaskazini wenu
 
Kabla ya kumtetea Mhando alianza kwa kumtetea sana former Tanesco CEO, Idris Rashid, halafu akashauri serikali inunue ile mitambo chakavu ya kufua umeme. Yeye siyo Engineer lakini aliona ni sahihi kushauri serikali hivyo. Kitu kingine amacho aliwahi nishangaza ni kutetea fast tracking ya EAC.
Kwa mtazamo wangu Zitto intelligent as he may be is not a matured politician and is not down to earth, ni mnadharia zaidi au mpenzi wa nadharia. Angejiweka vizuri zaidi kama kwanza angeomba kazi pale UDSM kufundisha uchumi na political science for at least ten years then come back to practice real politics. I stand to be corrected.

Spot on. Huyu ni aina ya watu wanaoongea kwanza halafu wanafikiri baadaye. He's just irrelevant and hopeless to our tentative needs.
 
He is very naive, interestingly watu kama profesa muhongo hawawezi kumsikiliza tena sababu they have their own vision ya kufanya haya mambo, anatishia watu kwamba amesomea energy bullshit, energy is like every other liquid commodity hakuna speciality knowledge itakayotusaidia zaidi ya kuwa na viongozi wazarendo kusimamia mambo yetu.

If he can not come back and we work together to remove ccm he is like a dead man as far as am concerned.

And he's a self-proclaimed leader, genius/visionary, academician and of coz The Prezzo.

Nionavyo Zitto angemudu siasa vizuri kama mazingira yangekuwa tofauti na yalivyo sasa, labda kama yale ya kipindi cha 1985-1995; watu hawakuwa inquisitive, hapakuwa na uhuru mpana wa teknohama, data na info nyeti zilikuwa mikononi mwa watu wachahe nk nk. Ila kwa mazingira ya sasa anapwaya na atazidi kupwaya huko tuendako.
 
Great thinkers kwa kujadili watu nawavulia kofia, lakini inapokuja kwenye hoja 🙂
 
Mrahaba wa asilimia 4 won't make things right!

More should be done.

We should start with the structures of mining contracts,at least the state must own 40% of all the gas blocks.

Due to efficiency issues TPDC must be assigned as the overseer of these shares.

Hii biashara ya kusubiri upewe asilimia 4 ya faida is pure lunatics.

Any business knows well enough how to report losses where appropriate.

Haven't we learned from telcos?mining companies?even tobaco companies pay more taxes to the country
 
Hakika wakristo ni wadini sana.Sasa kijana wa watu mnmpiga mawe kisa dini Yake.Tuone safari yenu Kama hata itafika nusu ya safari.Kwa kudharau dini zingine na huo ukaskazini wenu
Ndugu fungua macho yaone pande zote. Hapa awe Mkristo awe pagan awe Muislamu, kama mambo anayofanya hayaonekani kukidhi mwelekeo wa sasa wa mahitaji ya nchi atajadiliwa ipasavyo. Usisononeke akijadiliwa Musilam kwa sababu za kuipenda dini yako. Hakuna dini yenye waumini 100% malaika. Kusingekuwa na haja ya dini tena maana wote tungejiunga nayo nasi tukabadilke kuwa malaika na dunia ikawa ya malaika peke yake.
 
Hakika wakristo ni wadini sana.Sasa kijana wa watu mnmpiga mawe kisa dini Yake.Tuone safari yenu Kama hata itafika nusu ya safari.Kwa kudharau dini zingine na huo ukaskazini wenu

we jamaa ntakutukana matusi makubwa ya nguoni mpaka nipigwe ban ya maisha.

Siku nyingine unapoona wanaume tunajadili mambo basi usithubutu kuingiza dini kwani humu sio msikitini na ukitaka watu wa dini yako wasijadiliwe basi inabidi ubadilishwe ubongo huo ulionao.

Too sad.
 
Kabla ya kumtetea Mhando alianza kwa kumtetea sana former Tanesco CEO, Idris Rashid, halafu akashauri serikali inunue ile mitambo chakavu ya kufua umeme. Yeye siyo Engineer lakini aliona ni sahihi kushauri serikali hivyo. Kitu kingine amacho aliwahi nishangaza ni kutetea fast tracking ya EAC.
Kwa mtazamo wangu Zitto intelligent as he may be is not a matured politician and is not down to earth, ni mnadharia zaidi au mpenzi wa nadharia. Angejiweka vizuri zaidi kama kwanza angeomba kazi pale UDSM kufundisha uchumi na political science for at least ten years then come back to practice real politics. I stand to be corrected.

Kwako we Dr. Bana amekomaa katika siasa coz ana more than 10 years pale udsm
 
Kwako we Dr. Bana amekomaa katika siasa coz ana more than 10 years pale udsm

Umeleewa sivyo, haina maana akikaa Dr. Bana akashindwa kuwa mwanasiasa mahiri basi wengine wote watakuwa hivyo. Vipi mkuu?? Yeye Zitto amekwishaonyesha mwelekeo wa kutaka kuwa mwanasiasa tangu ujana.
 
Back
Top Bottom