N nkongu ndasu JF-Expert Member Joined Jan 19, 2013 Posts 22,532 Reaction score 6,628 Dec 13, 2013 #41 Ruttashobolwa said: mpelekee rafiki yako lema akali ropoke ana yahitaji. Ikulu yenu ni tengeru. #chadema sebureni Click to expand... teh teh, umeamua kupiga mipasho na propaganda kama maccm?
Ruttashobolwa said: mpelekee rafiki yako lema akali ropoke ana yahitaji. Ikulu yenu ni tengeru. #chadema sebureni Click to expand... teh teh, umeamua kupiga mipasho na propaganda kama maccm?
Hakikwanza JF-Expert Member Joined Dec 11, 2010 Posts 4,055 Reaction score 1,024 Dec 13, 2013 #42 CUF Ngangari said: Hazina ya Tanzania, kijana mwenye Busara pekee katika chama cha Wachaga. Click to expand... Siku nyingine mtajikuta motoni
CUF Ngangari said: Hazina ya Tanzania, kijana mwenye Busara pekee katika chama cha Wachaga. Click to expand... Siku nyingine mtajikuta motoni
M Myanguneni JF-Expert Member Joined Oct 12, 2012 Posts 1,192 Reaction score 277 Dec 14, 2013 #43 jobe ayoub said: umeona eeeeeeeeeeeeeh!!! kichwa kile noma. sio akina MIN KABAAAG Click to expand... Hawa wachadema ni waajabu sana yani jambo zuri kwao ni lile linasemwa na Lema,Sugu,Dr slaa ,Mbowe wengine lakini Zito japo ameongea kama wana Chadema.au wanaagenda yao nyingine ?
jobe ayoub said: umeona eeeeeeeeeeeeeh!!! kichwa kile noma. sio akina MIN KABAAAG Click to expand... Hawa wachadema ni waajabu sana yani jambo zuri kwao ni lile linasemwa na Lema,Sugu,Dr slaa ,Mbowe wengine lakini Zito japo ameongea kama wana Chadema.au wanaagenda yao nyingine ?