Hazina ya Tanzania, kijana mwenye Busara pekee katika chama cha Wachaga.
machachari kwa kipi mkuu?Vijana machachari kama hawa wapo wachache sana hapa Tanzania.
Kwa hiyo hajaongelea lolote kuhusiana na kauli ya AG na Lukuvi? And this is our Zitto, jamani!
siku hizi kila anachofanya zitto lazma watu waandi. Hata akijamba lazma watu wakimbilie jf kuandika kwamba wamemsikia zitto anajamba
Kabwe Zitto amemaliza punde kuongea Bungeni akilia na suala la elimu ambapo amependekeza shule za VETA ziunganishwe na kambi za JKT ili vijana wanaomaliza huko watoke na elimu zitakazowasaidia moja kwa moja katika maisha kwa faida yao na nchi na akasisitiza walimu wathaminiwe! Wakati wa kumalizia hoja yake amemnukuu mwanasiasa na mpigania haki wa India hayati Indira Ghandi, ambapo Naibu Spika Ndugai amemsifu jinsi alivyomalizia hoja yake kwa nukuu hiyo! (sijainyaka vyema hiyo nukuu). Nimeshainyaka nukuu yenyewe: "First they ignore you, then they laugh at you, then they fight you, then you win" (Thanks Jabulani!).
Kwa hiyo hajaongelea lolote kuhusiana na kauli ya AG na Lukuvi? And this is our Zitto, jamani!
Amemaliza kwa kusema "they will laugh at you,then they will fit you then you win" mwisho wa kunukuu.
hazina ya tanzania, kijana mwenye busara pekee katika chama cha wachaga.
!
!
nina wasiwasi na hapo kwenye red
Mkuu, AG kasema Zitto si mtu wa kuaminika. Kila akiambiwa alete basi huo ushahidi wake wa mapesa ya Uswizi anaosha. Vilevile kama alivyokuwa akiwakwepa wenzake CDM. Arobaini zake zishafika, hamdanganyi mtu tena. Hao TSS wanaompa data sasa watafute mtu mwingine. The game is up for Zitto.umeona eeeeeeeeeeeeeh!!! kichwa kile noma.
sio akina MIN KABAAAG
teh teh, hayo yanaitwa mahaba kaka!Zitto ni mbunge makini sana na huwa hapaniki wala kuweweseka ,ana mchango mkubwa kwenye jamii.