nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
Pengo la Zitto Bungeni halitazibika.
ni kweli hata ujaze wabunge wote wa ccm.
Pengo la Zitto Bungeni halitazibika.
Mbona hushangai kuhusu CUF kutokuwa CCM B tena?
Mbona hushangai kuhusu CUF kutokuwa CCM B tena?
Pengo la Zitto Bungeni halitazibika.
Pengo la Zitto Bungeni halitazibika.
kijana nadhani pia unayakumbuka maneno ya chadema 2010 kuwa cuf ni ccm b na mbatia ni pandikizi la ccm.....lakini leo cuf wanaunda ukawa pamoja na mbatia....sasa nani mjinga hapo kama sio chadema?asubuhi alisema ukawa ni wasaka tonge halafu jioni anajiunga nao. Alishasema usimwamini mwanasiasa yoyote. Tafakari chukua hatua. Upande mwema upande mnafiki.
kijana maneno ya chadema 2010 dhidi ya cuf unayakumbuka?...dhidi ya mbatia unayakumbuka?......hapo nani msaliti kama sio chagadema?leo tena si wasaka tonge!? huyu msaliti banaa ana vituko vya hali ya juu. Hajitambui kabisaaaaa
Kiti namba 666 katika bunge la EU nacho kiko wazi.Pengo la Zitto Bungeni halitazibika.
kesho inawapasa wabunge wote machachari kuwepo bungeni akina sugu, lema, kafulila, mbatia, mbowe, halima mdee, ester matiko n.k ili kuendeleza msimamo wa upinzani bila hivyo miswada hii itapitishwa hivi hivi kwa maslahi ya wachache
Asubuhi alisema Ukawa ni wasaka tonge halafu jioni anajiunga nao. Alishasema usimwamini mwanasiasa yoyote. Tafakari chukua hatua. Upande mwema upande mnafiki.
Kiongozi mkuu wa ACT Wazalendo ameunga mkono msimamo wa UKAWA, baada ya kuzuia miswada mitatu inayohusu gesi na mafuta, amesema hata yeye angekuwa bungeni angefanya vile UKAWA walivofanya, kwani haoni uharaka wa kupitisha miswada hiyo, anasema mswada wa habari uliondolewa kwa vile tuu uliwahusu watu wenye uwezo, lakini miswada hii ya gesi inashindikana kuiondoa kwa vile tuu anayenyonywa ni mwananchi. SOURCE AZAM TWO HABARI
kesho inawapasa wabunge wote machachari kuwepo bungeni akina sugu, lema, kafulila, mbatia, mbowe, halima mdee, ester matiko n.k ili kuendeleza msimamo wa upinzani bila hivyo miswada hii itapitishwa hivi hivi kwa maslahi ya wachache
Watafutwe popote walipo waingie mjengoni kwa lengo moja tu la kukwamisha msaada.