Kiongozi mkuu wa ACT Wazalendo ameunga mkono msimamo wa UKAWA, baada ya kuzuia miswada mitatu inayohusu gesi na mafuta, amesema hata yeye angekuwa bungeni angefanya vile UKAWA walivofanya, kwani haoni uharaka wa kupitisha miswada hiyo, anasema mswada wa habari uliondolewa kwa vile tuu uliwahusu watu wenye uwezo, lakini miswada hii ya gesi inashindikana kuiondoa kwa vile tuu anayenyonywa ni mwananchi. SOURCE AZAM TWO HABARI