Zitto avuliwa wadhifa wake bungeni wa Naibu kiongozi wa Kambi ya Upinzani bungeni rasmi

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,030
1,303
Hatimae Wabunge wa CHADEMA wametekeleza agizo la Kamati Kuu la kumvua nyadhifa yake bungeni muda mfupi uliopita!



Ikumbukwe kabla ya kuvuliwa wadhifa huo Mh. Zitto alikuwa Naibu kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni inayoongozwa na Mh. Freeman Mbowe.
 
Gambas fafanua kidogo maana ya "muda mfupi uliopita"
manake tunakaribia usiku wa manane sasa.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: ram
rekebisha heading panaposomeka "nyadhifa" pasomeke "wadhifa"
 
Jioni mwanasheria mkuu kamuumbua zito juu ya kutokuwa nayo majina ya walioweka pesa kwenye mabenki ya nje ya tanzania.baadaye kamati ya wabunge wa chadema imekaa na kumuondolea umakamu wa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni.hili limethibitishwa na katibu wa wabunge hao.
Zito sasa kwa hakika hawezi "ku -undo" kuporomoka kwa hadhi yake kama mwanasiasa maarufu.
 

Nani kachukua nafasi yake ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…