Zitto atikisa Bagamoyo leo

mmeanza hebu tulien kidogo jaman looo!, sa iz si muda kuongolea mambo ya kugombea nafas ktk nchi ebu achen makamanda wajenge na kuimarisha chama. na kama umetumwa kawambie cjawakuta wapo bize wanajenga chama. watu wengine bana.....
 
Ndugu.wachangiaji nawaomba mjenge hoja sio Kejeri, matusi na kusemana vibaya nahitaji mjenge hoja za kisiasa acheni matusi hizo mnazo fanya ni siasa za maji taka. ZZK ni mwanasiasa anae vuma kama ilivyo kuwa enzi za kudai uhuru kipindi cha ujana wa baba wa taifa mwalimu j.k.nyerere ndivyo anavyo onekana zito kwa wazee wa kitanzania ndio maana wana mtakia kila la kheri ktk harakati zake. pia ieleweke mimi sijasema kuwa zito agombee uraisi sasa hofu zenu niza nini?, kwani nyie mnamtaka nani agombee uraisi?
 
Join Date : 22nd October 2012
Posts : 8
Rep Power : 302
Likes Received:1
Likes Given:0

Kajipange upya! inaelekea umevimbiwa na pilau la EID mubarak!


mgomba101 heshimu mawazo na michango ya members wenzako. Hata mbuyu uliota kama mchicha. Member anaweza na anaruhusiwa kuchangia mawazo yake hata kama kajiunga leo, kwakuwa anajua anachoandika. Wewe mwenyewe uliwahi kuwa member mpya na ulitoa mawazo yako mpaka sasa umekuwa. Kumbuka kujiunga humu siyo kuwa ndio mtu anazaliwa. Nakushauri usome upya sheria za Jamii Jorums.
Baada ya hayo mtake radhi member mwenzako.
 
Last edited by a moderator:
Zito anapoteza muda ktk chama hiki cha kikabila na kidini! kamwe Chadema hawatathubutu kumpitisha agombee nafasi ya Urais kwani nafasi hii ina wenyewe na wenyewe ndio hao kabila fulani au dini fulani!!!!
aleluyaa!!

Hata baada ya kuona matokeo bado hamjachoka kupandikiza chuki za kidini na kikabila???
Magamba sikio la kufa.
 
BIG UP ZITO, NA MAKAMANDA WENGINE, NA 29/10 PEOPLE'S KATA SI CHINI YA 18 TUTAZIKAMATA.:A S soccer:
 
wamuombee tu ndugu yetu apunguze mawenge yake!inshalah cdm tutachukua dola
 

Hii post imejaa uwongo sana. Ushabiki ni mwingi zaidi ya uhalisia. Ulikuwa mkutano mkubwa na mzuri lakini hapakuwa na dua wala lolote. Kwanini Mtu utunge uongo?
 
mimi nafikiri katiba ndiyo ya kulaaniwa na wazee wa pwani kwani mpaka sasa ndiyo kikwazo kwa zitto kuwa rais wa nchi hii.
katiba inataka rais awe na si chini ya miaka 40.
tofauti na hilo hata mimi niko nyuma ya zitto.
 
Hii post imejaa uwongo sana. Ushabiki ni mwingi zaidi ya uhalisia. Ulikuwa mkutano mkubwa na mzuri lakini hapakuwa na dua wala lolote. Kwanini Mtu utunge uongo?
Well said mkuu mambo kama haya siyo ya kuyafumbia macho wa2 wanakua na ajenda za sir kuanzisha mada ambazo hazina ukweli hongera kwa kujitokeza kwa hili pamoja sana kamanda we2
 
Hii post imejaa uwongo sana. Ushabiki ni mwingi zaidi ya uhalisia. Ulikuwa mkutano mkubwa na mzuri lakini hapakuwa na dua wala lolote. Kwanini Mtu utunge uongo?

Big up Zitto.
Ninashangaa kwanini watu kwa makusudi wanatunga uongo ili kuchochea tu kusiko na sababu yeyote.Taarifa zote za mkutano nilizipata jinsi mkutano ulivyokuwa kutoka kwa makamanda waliokuwepo.Lakini huyu aliyeposti hii mada ameongezea kitu ambacho hakikuwepo kabisa.
Lakini nimefurahishwa sana ulivyojitokeza haraka na kuuweka ukweli waziwazi.
Cha msingi CDM itapata ushindi mkubwa katika kata mbalimbali.Makamanda wote tuombeane kheri.
 

Acha umbea na uzushi mwanaume we, utavishwa gauni. Zitto mwenyewe kakana uzushi wako. Sasa unatuRazimisha tusikukejeRi?
 
Zzk utamkubali tu,Co we molemo alikishinda ubunge Yule babu alafu unamletea majungu jamaa!# next election uchukue jimbo lile kwa babu
 
Kiukweli kabisa Cdm kwasasa imejipanga vilivyo ina makamanda makini wanaojitoa kwa mioyo yao kwa fedha zao kulipigania Taifa hili , kama wakiendelea kushikamana hakika ccm haitapata nafasi tena kwenye taifa hili, hongera kamanda mbowe kwa kuzalisha zao jipya la vijana, Mawazo, Bananga,Lema, Kilewo, Nassari, Sugu haya ni mazao mapya kabisa ya CDM kwenye ulingo huu wa kisiasa kwasasa... Hakika kamanda mbowe ukiendelea kuvipa nafasi vipaji hivi ccm haina nafasi kwani makamanda hawa ni majasiri na wamejitoa.
 
zitaonyeshwa jamani hizo kampeni jamani ilituweke kwenye television siunajua pamoja sana mm chadema jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…