Zitto athibitisha CHADEMA kupoteza Igunga

Status
Not open for further replies.
Just be careful guys! Kuna account feki siku hizi, are u sure ni Zito Kabwe kweli aliyepost hivyo!? Sidhani! Hapo kuna mchezo unachezwa.

Hatuchelewi kuambiwa kwamba amekanusha kupitia redio ama tv fulani.

Viongozi wengine wa chadema hawajaandika "conclusive statement" yeyote kwenye mitandao yao sasa nashindwa kuamini kama ni zitto kweli ndo ameandika hiyo maneno.
 
Mbichi na mbivu saa nane mana twasikia Dr Dalali anakataa kusaini matokeo sasa km kashinda kwanini akatae na kwanini wchele kutangaza hizo ni propaganda za ccm kuwa wameshinda wakati bdo. Wanatumia ile technics ya asante kotoko wakati walipocheza na Yanga waliporusha shilingi
 

''Correction on my last tweet..We have lost the election. Chadema has NOT conceded. Contemplates petition.''

Hivi ndivyo JF inavyokufa .... ..... kifo cha mende.

 
Better be not him, sidhani Kama ni busara kwa yeye kusema hivyo wakati bado tume kutangaza na Vijana wapi wanashinikiza Matokeo yatoke, Huyu ni mtu katengeza account ya jina Hilo, hili msemaji rasmi.
 
Zitto,

nini kimisababisha kushindwa lazima kutafakari tusikimbilie kusema kuchakachuliwa kwani CDM walikuwa wapi wakati CCM wanachakachua
 
Kili kitu Zitto, kwani yupo peke yake Igunga?
 
acheni ushabiki - amesema kwa data alizokuwa nazo hadi wakati huo anatype kwenye twitter - mbona mna kiherehere sana duh.
 
Wakuu wanachama, wapenzi na mashabiki wa CHADEMA na wapenda haki na demokrasia, naomba tuwe makini sana katika suala la uchaguzi wa Igunga. Kwa kawaida uchaguzi unapofanyika katika kila kituo cha kupigia kura, kila chama kinakuwa na wakala anayehakikisha kura zinapigwa vizuri na hakuna kura zinazoingizwa kutoka nje. Baada kura kupigwa zinahesabiwa na kujumlishwa ili kila chama kijue kimepata kura ngapi? Baada ya hapo matokeo yote yanajazwa kwenye fomu maalumu inayotayarishwa na tume na kila wakala wa chama baada ya kuthibitisha kwamba fomu hiyo imejazwa kama kura za chama chake zilivyo anatia saini ya kukubali matokeo hayo.

Baada ya hapo kila wakala anapatiwa nakala ya fomu hiyo na kwenda kuikabili kwenye chama alichokiwakilisha katika uchaguzi huo. Na chama baada ya kupokea fomu kutoka kwa mawakala wake wote hujumlisha kura zake na hata za wapinzani wao ili kuona kama wameshinda au la. Na hapo kwa wenye akili wanakuwa wameishajua wamekaa vipi.

Nina hakika huko Igunga utaratibu nilioueleza hapo juu ndiyo uliofuatwa huko Igunga na kama kama upigaji kura ulifungwa saa 10 jioni nina hakika kila chama mpaka usiku wa manane tayari kilikuwa kimefahamu matokeo yake pasipo shaka. Na ndiyo maana baada ya kufanya hivyo CCM walitangaza kupitia Nape kwamba wamepata kura 26266 na Chadema 22443. Kwa hiyo, tuache propaganda Chadema wanajua matokeo kura hazijatosha ndiyo maana hawajathubutu kupost matokeo ya kuonesha wameshinda.

Inauma sana: SOTE TULITAKA CHADEMA WASHINDE LAKINI NDIYO HIVYO KURA HAZIJATOSHA. LETS DISCUSS THINGS OF NATIONAL INTEREST PUT IGUNGA BEHIND OUR BACKS NOW.

THANK YOU VERY MUCH, GOD BLESS YOU
 
Ninawasiwasi na mods wanatumika ku pre empt watu toka jana. Kunathread ya matokeo ya awali wameonekana wanahangaika kubadili post ya kwanza huku wakijua si matokeo halisi kwa vile hayakuwa ya reliable source. Hii thread haikuwa na haja ya kuipa Title ya 'Breaking News' ambayo iko accessed na Mods pekee wakati kuna thread ya aina hii inaendelea.
 
Matokeo rasm ni yale yatakayotangazwa na nec hawa wote ni mbembwe 2 coz nec ndo watatujurisha matokeo yote kiujumla iv ww zto kabwe na huyo nape mmekuwa nec nyie mpaka mtoe matokeo c 2mepta matokeo ya awal bt co ya ujumla.
 

kama ni kweli CDM wamekubali, NEC wanasubiri nini??
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…