ZITTO ataka turudi GIZANI

Issue hapa sio Zitto, issue ni kwamba, kuna ukweli kwenye issue husika?
kama mnataka tumjadili Zitto hapa, mtakuwa wapuuzi sana, I MEAN WOTE MNAOTAKA TUONGEE KUHUSU ZOTTO, BADALA YA UFISADI KATIKA UAGIZAJI WA MAFUTA KWA AJILI YA MITAMBO YA IPTL.
 
Angalia anavyotafuta umarufu??

"@zittokabwe: @JMakamba @jjmnyika “Ninaleta ombi kmt ya Bunge ya Nishati na Madini ifanye uchunguzi maalumu kuhusu zabuni ya uagizaji mafuta ya IPTL."

My take: this is cheap publicity you are after!!!

Umeme tunapata unataka nini zaidi?


Ndugu yangu umemshambulia Zitto Kabwe kwa hoja ambayo imekaa tenge. Kupata umeme wa uhakika na kuhoji matumizi ya ununuzi wa mafuta yaliyotumika IPTL havina uhusiano wowote. Hakuna mantiki yoyote kudai kuwa kwa kuhoji matumizi ya pesa za ununuzi wa mafuta ya IPTL basi Zitto anataka turudi gizani. Lakini pia hakuna mantiki yoyote kumtarajia Zitto akae kimya asihoji matumizi ya pesa za IPTL, hata kama zina walakini, kwa sababu tu wewe unapata umeme wa uhakika. Mimi naona kama wewe ndiye unayetafuta umaarufu kwa kuweka thread yenye mantiki tenge na kujaribu kuhalalisha kumshambulia mtu mwingine.
 
tatizo la Zitto hapo ni nini ?
Gubu si zuri mnyonge mnyongeni haki zake mpeni Zitto anapiga mzigo na kama kuna makosa anafanya basi ni ya kibinadamu sana na yasichukuliwe serious kihivyo

Sote tukumbuke kuwa ktk ujenzi wa CHADEMA huwezi kumuondoa Zitto kwenye list mkuu Uwe balanced

FF mwenyewe ana mkubali
frustration is given by expectationdivide by
outcome
ie
frustration = expectation/outcome

mkuu, hiyo signature yako hapo ni ya kweli hiyo?...........KWAMBA UNAKUWA FRUSTRATED KAMA:

Outcome ikiwa kubwa kuliko expectation?
sijawahi kuona hiyo!!

:focus:
 
It high time tuwageuke wanasiasa, wamekaa kugeuza geuza maneno tu, kwani waliosababisha tukakosa umeme wa ricmond si hao hao kina ZITTO?

Umeme upo bana acheni mashihara

Haya ngoja ZITTO awatibue hao wanaopeleka mafuta IPTL mwone kama hamjaingia gizani

Upo wapi huu umeme unaoushikia bango? Kwa taarifa yako mgawo wa umeme bado upo na sasa hivi unafanyika kimyakimya bila taarifa kwa umma wa watumiaji.
 

Umeme tunapata unataka nini zaidi?

Hapo ndipo ulipokosea, una mtazamo wa "The end justifies the means", which is not always true.

Hivi mkeo akifanya uchangudoa ukiwa unafahamu, then akaleta hela ya kula nyumbani kwako utakula tu, na kusema "bora mkono uende kinywani"?
 
Tuache kumjadili Zitto tujadili hoja,
habari yenyewe ndiyo hii kama ilivyoripotiwa na The East African jana.
Sioni kosa la Zitto kusema anasikitishwa na ukimya juu ya suala hili nyeti besides yeye kumwandikia speaker barua tangu mwaka jana April kutaka uchunguzi ufanyike zaidi lakini mpaka leo hakuna kilichofanyika!

Tanzania probes loss of over $54m meant for IPTL fuel oil purchase
By Mike Mande and Joseph Mwamunyange
THE EAST AFRICAN


Posted Sunday, February 5 2012 at 14:24

Tanzania is investigating several officials accused of stealing millions of dollars meant for an independent power producer as the country battles crippling energy shortages.

The government estimates that at least $54 million meant for the purchase of heavy fuel oil for Independent Power Tanzania Ltd (IPTL) may have been stolen .

The private firm’s multimillion-dollar 100MW production power supply contract with the Tanzania Electric Supply Company, Tanesco, has been dogged by controversy throughout.


A new audit report details wasteful procedures and overvaluation of the money paid by the government for the supply of heavy fuel from a local oil firm.
A senior government official confirmed to The EastAfrican that there was evidence to back allegations that some senior government officials from the Ministry of Energy and Minerals, the Treasury and the state owned Tanesco colluded in the deal.


“Yes, I can confirm there is an investigation ongoing, but it is still in the early stages,” said Minister for Energy and Minerals William Ngeleja.

The power crisis currently facing the country has compelled Tanesco to pay $12 million to Independent Power Tanzania Ltd every month for production of 60MW instead of the initial production of 100MW.

In 1995, Tanesco signed a power purchasing agreement with IPTL, a joint venture between a Malaysian firm, Mechmar Corporation, and a local investor, VIP Engineering and Marketing Company Ltd, for the purchase of 100MW of power from diesel generators for 20 years. VIP Engineering own 30 per cent equity while Mechmar Corporation of Malaysia owns 70 per cent.

“From the start, the deal was hotly contested by donors and consultants on the grounds of cost, the choice of technology and the projected demand for power,” said Brian Cooksey of Transparency International.

The government agreed to pay for the capacity whether or not it was actually needed.

In the project’s first year, 2002, IPTL was paid $40 million in capacity payments alone, and has functioned at less than 10 per cent of capacity since then.

The deal led to a public outcry and fiery parliamentary debates.

Tanesco was forced to pay a high price for capacity that it didn’t really need since its major problem was not insufficient generating capacity but rather a lack of gridlines. Following a legal battle involving the IPTL shareholders VIP Engineering and Marketing Company, the plaintiff, and Mechmar Corporation after the High Court of Tanzania ruled in favour of VIP Engineering.

VIP Engineering had accused Mechmar of misappropriation of $126 million paid to IPTL as capacity charges and in 2002, the local investor sued the Malaysian partners over the issue.

By November 2006, Mechmar Corporation had received $146,260,819.90 as capacity charges from Tanesco.

The Malaysian firm could lose over $126 million held in an escrow account at the Bank of Tanzania, in which the firm was required
 
Angalia anavyotafuta umarufu??

"@zittokabwe: @JMakamba @jjmnyika “Ninaleta ombi kmt ya Bunge ya Nishati na Madini ifanye uchunguzi maalumu kuhusu zabuni ya uagizaji mafuta ya IPTL."

My take: this is cheap publicity you are after!!!

Umeme tunapata unataka nini zaidi?
hili ndio tatizo la watanzania wengi, eti umeme tunapata kwahiyo hakuna haja ya kufanya uchunguzi zabuni ya uagizaji mafuta..! Kwahiyo hata kama zabuni hiyo itakuwa na zengwe kwenye bei, au upatikanaji wa zabuni yenyewe umegubikwa na rushwa na madhaifu mengine kwasasa hilo sio tatizo tena.

kaa chini fikiria wewe kijana nchi yetu imefika hapa ilipo kwa mawazo na utendaji wa staili hii ya kwako.
 
hili ndio tatizo la watanzania wengi, eti umeme tunapata kwahiyo hakuna haja ya kufanya uchunguzi zabuni ya uagizaji mafuta..! Kwahiyo hata kama zabuni hiyo itakuwa na zengwe kwenye bei, au upatikanaji wa zabuni yenyewe umegubikwa na rushwa na madhaifu mengine kwasasa hilo sio tatizo tena.

kaa chini fikiria wewe kijana nchi yetu imefika hapa ilipo kwa mawazo na utendaji wa staili hii ya kwako.

tumefikia tulipo kwa kuwasikiliza wanasiasa(wageuza geuza maneno)? tukubali tu mtu apandie migongo yetu kwa njozi zake za kufika juu?
 
Jamani, Tanesco stands for Shirika la ugavi wa umeme, kwahiyo mgao ni kitu inherent, inatakiwa pasipokuwepo mgao ndio tushangae.

Kwa hiyo yunifom uliyovaa ya CcMfsd sishangai kuona Koment Kama hii....na ndio maana tunapigania kuwang'ofoa madarakani.....akili mgando Kama hii Yako inaashiria hata kizazi kipya cha CcMfsd kimetawaliwa na fikra zile zile za zidumu fikra za mwenyekiti.....Inasikitisha Sana kuona muenendo wa tanesco ilivyo wa kusuasua miaka yoooooote ya uwepo wake ilhali ina generate fedha kutoka kwa wananchi as usual.
 
Angalia anavyotafuta umarufu??

"@zittokabwe: @JMakamba @jjmnyika “Ninaleta ombi kmt ya Bunge ya Nishati na Madini ifanye uchunguzi maalumu kuhusu zabuni ya uagizaji mafuta ya IPTL."

My take: this is cheap publicity you are after!!!

Umeme tunapata unataka nini zaidi?


Yuko kwenye harakati za kumsafisha Lowassa....IPTL itaonyesha kwamba Richmond ni kitu cha kawaida serikalini na Lowassa siyo wa kubeba mizigo ya mdahalo wa kisiasa wa UFISADI...kazi nzuri kijana Zitto
 
watu wa CDM mnapanda seeds mbaya sana hizi za kushambulia kwa hamaki na jazba mtu yeyote anayeelekea kukosoa viongozi wenu...nafikiri hii fanaticism hailengi kabisa kujenga hii nchi ni ushabiki upofu ambao kama religious fundamentalism inakua ni changamoto hasi zaidi katika jamii na maendeleo yake kwa ujumla...huu udikteka wa kimawazo hautaisadia CDM wala TZ
 
na ww umeoa kwa nani? Hoja hapa ni ZITTO kudandia hoja nyepesi!! acheni ushabiki jadili hoja

mkuu! kifupi ni kwamba umechemka na hisia zako binafsi kwa zitto! nenda kajipange upya uje na post yenye maana...
 
Angalia anavyotafuta umarufu??

"@zittokabwe: @JMakamba @jjmnyika "Ninaleta ombi kmt ya Bunge ya Nishati na Madini ifanye uchunguzi maalumu kuhusu zabuni ya uagizaji mafuta ya IPTL."

My take: this is cheap publicity you are after!!!

Umeme tunapata unataka nini zaidi?

Unaishi wapi ambapo wewe huguswi na mgawo na katakata ya umeme ya TANESCO? Zitto kakosea lipi katika kutaka uchunguzi ufanywe juu ya ufisadi wa mafuta mazito kwa IPTL? Hata kama hujasoma kabisa Economics (uchumi) huoni hasara inayotokana na mgawo wa umeme kwa uchumi wa nchi? Fikiria kabla ya kutoa hoja hizi. Ni bora unge post thread isemayo " Wana JF tunapata hasara zipi kutokana na kukatika kwa Umeme na Ufisadi ndani ya TANESCO" ungeelimishwa sana na wanajamvi.

Chuki zisizo na msingi juu za Zitto, hasa juu ya umeme hazitusaidii Watanzania. Lazima tufahamu sote kuwa nchi hii inahitaji mikakati na vipaumbele sahihi ili iweze kusonga mbele. Lazima tuanzie katika kupiga vita ufisadi na matumizi mabaya ya rasilimali zetu. Pili, lazima tuwe na vision na malengo machache ambayo kila wakati tutakuwa tunaangalia (monitor & review) utekelezaji wake. Tatu, viongozi wa kutekeleza malengo yetu lazima wawe watu waliojitoa mhanga wakiongozwa na utawala wa sheria. Kuwa na viongozi (wako juu ya sheria-full of impunities) ambao hawaheshimu sheria na utawala wa sheria hatutaweza kupiga hatua mbele. Viongozi hawa watafumbia macho uvujaji wa rasilimali zetu na kuwalinda mafisadi kwani watakuwa sehemu ya mfumo wa ufisadi "web of evils".
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom