ZITTO ataka turudi GIZANI

My point! Asitafute cheap publicity aende akarekebishe vifungu kwa manufaa ya vizazi vijavyo kama wenzake mnyika na lisu!!

Namsikiliza sana ndio maana namwona so cheap

una utapiamlo wa ubongo
 
My point! Asitafute cheap publicity aende akarekebishe vifungu kwa manufaa ya vizazi vijavyo kama wenzake mnyika na lisu!!

Namsikiliza sana ndio maana namwona so cheap

Wewe ndio unatafuta cheap publicity hapa JF,
If ZITTO is so cheap, why can't you buy him awe upande wenu?
 
My point! Asitafute cheap publicity aende akarekebishe vifungu kwa manufaa ya vizazi vijavyo kama wenzake mnyika na lisu!!

Namsikiliza sana ndio maana namwona so cheap
Mwanzo nilidhani huwa humsikilizi na kumfuatilia harakati zake, but maadam umekiri kuwa unamsikiliza sana... basi ni ama huwa humwelewi au unamwelewa vibaya....
Ebu tutajie top 10 yako ya wabunge wanaojituma kutafuta matatizo ya kudumu ya taifa hili kwa sasa kwa kutumia hoja za msingi na siasa zenye utaifa zaidi kuliko uchama...
No Zitto? ... oh my!!...
Binafsi, namwona Zitto kama MP wa taifa, si wa mwisho wa reli tu, na wala si wa cdm tu.:biggrin:
 
Zitto kaka kaza buti hadi kieleweke kama umefikia hapo nakuamini una nyeti za kufa mtu wakibisha Bungeni kama kawaida tutasemea Uzini au penginepo na nyeti zingine zitamwagwa hapa hapa JF .Achana na wagonjwa wa uoga an akili finyu kama wau .Una baraka zangu kijana mwaga hadharani .
 
Duh!... hapo mwana umeenda chaka... unaposema umeme tunapata unamaana we mbongo mwenzetu una uhakika wa umeme wa kudumu? unaishi mitaa ipi?... magogoni?...
Hata Ze Big Boss mwenyewe shidhani kama anashare mtazamo wako...
Tatizo la umeme bado lipo mkuu, na mapungufu kwenye mikataba ya manunuzi ya umma bado...
 
Hapa tu nilipo sina umeme toka saa12 jioni huyu
kinini sijui anasema "tunapata umeme",...my foot
 
Wakati wote namuona zitto km kijana ndumila kuwili sn. Anatumiwa sn na ccm kuvuruga cdm ila anapata taabu kwa sbb inteligensia ya cdm ni zaidi ya ile ya serikali. Atakuja kupotea vibaya sn kwenye ramani ya siasa

topic hii na allegations zako haviendani kabisa!! unaonekana una gubu, na wivu mkali sana........na uko tayari kufanya lolote ili mradi chuki zako kwa zito wengine nao wazitimize!

unatakla uvuliwe nguo?? nipe mfano mmoja tu ambao zito aliivuruga cdm chanzo kikiwa ni CCM!! ukishindwa kutoa mfano, nakupiga masingi!

anyway, inaonekana una insurance ya wanasiasa kukaa kwenye siasa!! siasa siyo professional ina msimu/////ni msimu wa Zito!!! leave him alone.......wenye kupigana na maisha hawana wivu wa kijinga kama wako!
 
Hapa Mwanza mgao kila siku, cha kushangaza saa 4tu zakupata umeme kwa wastani wa kila siku.
 
Wakati wote namuona zitto km kijana ndumila kuwili sn. Anatumiwa sn na ccm kuvuruga cdm ila anapata taabu kwa sbb inteligensia ya cdm ni zaidi ya ile ya serikali. Atakuja kupotea vibaya sn kwenye ramani ya siasa

zitto is anaza level kaka.nyie maadui zake mnahangaika kunchafua.ht mimi najua kinachoendelea ndani ya cdm juu ya zitto
 
Jamani, Tanesco stands for Shirika la ugavi wa umeme, kwahiyo mgao ni kitu inherent, inatakiwa pasipokuwepo mgao ndio tushangae.
 
Una****** aisee, hivi unadhani hasara tunayopata kwenye sekta ya umeme inaendana na umeme tunaopata?? Unaelewa maana ya cheap popularity?? Watu wengine sijui mliumbwa na udongo wa chooni!!

Kuanzia lini umekua mtetezi wa zitto???kwa tabia za zitto ulizowahi kutuwekea hapa huku nyuma unadhani anaweza kubadilika?mimi binafsi sidhani labda uje uandike tena upya kufuta kile ulichowahi kukiandika huko nyuma kuhusu zitto otherwise wengine tutakudharau na kudharau chochote utakachojaribu kuchangia humu.Kwa ambao hawakupata bahati ya kukisoma ulichowahi kukiandika kuhusu zitto nitakinukuu hapa chini kwa faida yao ili nao wakujue sawasawa na aina ya misimamo yako!

Uko wasa mkuu, kuna wengine wanatuona kuwa watanzania wote ni wavivu wa kufikiri, hivi huyu jamaa amekuwa ndo afisa habar Tanesco, dada Badra? Acheni umbeya na ushabiki kwenye masuala yanayotuumiza watanzania.
 
Wakati wote namuona zitto km kijana ndumila kuwili sn. Anatumiwa sn na ccm kuvuruga cdm ila anapata taabu kwa sbb inteligensia ya cdm ni zaidi ya ile ya serikali. Atakuja kupotea vibaya sn kwenye ramani ya siasa

wewe ni mkwe wa mbowe?
Unarinda utawala wa kifalume acha democrasia itawale ndani ya cdm na wala si hisia zako.
 
wewe ni mkwe wa mbowe?
Unarinda utawala wa kifalume acha democrasia itawale ndani ya cdm na wala si hisia zako.

na ww umeoa kwa nani? Hoja hapa ni ZITTO kudandia hoja nyepesi!! acheni ushabiki jadili hoja
 
Umeme tunapata unataka nini zaidi?
UNAONA KWA KUPATA UMEME TU INATOSHA? ACHA MAWAZO FINYU HAYO
 
tatizo la Zitto hapo ni nini ?
Gubu si zuri mnyonge mnyongeni haki zake mpeni Zitto anapiga mzigo na kama kuna makosa anafanya basi ni ya kibinadamu sana na yasichukuliwe serious kihivyo

Sote tukumbuke kuwa ktk ujenzi wa CHADEMA huwezi kumuondoa Zitto kwenye list mkuu Uwe balanced

FF mwenyewe ana mkubali
 
Huyu ndio alikuwa waberoya wa ukweli! Haya maandishi anatamani yafutike lakini wapi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…