Zitto ataka Tanzania isitishe uhusiano na nchi za Magharibi: Kisa? Libya

Kinachoshangaza ni kuwa,wananchi wenyewe wa libya wanaunga mkono NATO,hata Arab League wanaunga mkono.Sembuse sisi watanzania?.
 
Cheap popularity - Tanzania haiwezi kuvunja uhusiano na nchi za umoja wa NATO - hata Nyerere (wenu) alishindwa!
 
Huyo Zitto hameishiwa kama tunategemea kuna mbunge basi hana kitu yeye na hakili zake unaeweza ukasema Tanzania ifute uhusiano na nchi za Magharibi?Tunauwezo gani wa kujisimamia kiuchumi sisi kama sisi?POLEEE MH.
 
Gamba hapo umenena
 
Toilet smell
 

kwa mwenye simu ya NATO atusaidie kuwaambia wajekwetu pia watusaidie kumuondoa JK!
 
Hivi wakati Amin na Gadaff wanavamia TZ na kuuwa Wahaya Zitto alikuwa na miaka mingapi vile??
 
NATO ndio ilianzisha vita kwa kutumia kiini macho cha walibya waliopenda mageuzi na hata kama hawakuanzisha inahusu nini wao kuingia Mabeberu wanatamai kushika na kutawala kila nchi muumba alioibariki kwa dhahabu,mafuta na almas ,iperuzi vizuri dunia na uchmi wake kw ujumla utaliona hili.Naunga mkono hoja ya zito
Siaza zangu ni zisizofungamana na chama chochote cha siasa
 
stupid!gaddafi aliuwa zaidi ya raia 5500 na askari walioasi zaid ya 400,be care,usiandike kishabiki tuu.
 
Huyo Zitto hameishiwa kama tunategemea kuna mbunge basi hana kitu yeye na hakili zake unaeweza ukasema Tanzania ifute uhusiano na nchi za Magharibi?Tunauwezo gani wa kujisimamia kiuchumi sisi kama sisi?POLEEE MH.

Nakuunga mkono mkuu. Hapo Zitto kapotea vibaya sana tuweke kando habari ya vyama. kwa sasa bado hatujafikia hatua ya kujitegemea bajeti yetu zaidi ya 40% ni misaada kutoka kwa mataifa ya Magharibi. tunataka tuunde urafiki na mtu ambaye alituma askari wake waje watuue watanzania harafu tunakataa urafiki na mtu anaeyetupa misaada na kutufanya tumue hapo mie siwezi kuungana na ZITTO hata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…