Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 8,595
- 7,871
Kinachoshangaza ni kuwa,wananchi wenyewe wa libya wanaunga mkono NATO,hata Arab League wanaunga mkono.Sembuse sisi watanzania?.Definitely kussuport Ulipuaji wa Libya ni ukosefu wa uoni wa hali ya juu. So far Idadi ya Raia ambao nato imeua ni zaidi ya 1000 kwa sasa, na idadi ya raia ambao walikufa kutokana na vurugu za mwezi february ni around 250, japo vyote ni vifo vinasikitisha lakini NATO Wameua wengi zaidi kuliko Ghadafi. Miundo mbinu iliyolipuliwa ni mingi kikiwemo chuo kikuu, sasa ni kwa Vipi unaweza in the name of democracy kussuport unyama na ushenzi wa aina hii?.
Democracy is more sacred than human life?, acheni kuunga mkono unyama, what goes around comes around!, siombei yatokee Tz, lakini akitokea mwendawazimu hata mmoja huko TZ akaamua kuwaita magaidi ya Kimataifa kama NATO yabomoe nchi eti kisa demokrasia huyo mtu ni wa kunyonga mpaka afe, hata kama kweli alidhulumiwa kwenye uchaguzi au vyovyote vile!