Zitto ataja mawaziri mizigo

unachezea mikia wa nyoka wakati uko msitini, akili zetu ni kubwa kuliko ukubwa wa makalio ya CCM ndo maana haiwezi kutukalia kifikira na maono ya namna ya kujikomboa kiuchumi.
 

mkuu bora ungesema tu baraza nzimaaa!!!!
 
wote uliowataja umepatia , lakini pale namba 6 UMEPATIA ZAIDI ! Yule mama TIBAIJUKA amefeli kuliko tulivyotarajia , kiukweli amenifanya nitafakari tena kuhusu kuwaamini wanawake .
 
Mbali na mizigo, idadi ya mawaziri ni kubwa ni mzigo wa gharama kwa taifa, kuwatunza bila faida yoyote!! Liwekwe baraza dogo la mawaziri, liwe competent, efective!!
Ondoa lundo la watu wasio na tija!!
 
Ni vema pia kuwe na wizara chake tu, watalaam tusaidieni orodha ya wizara mwafaka
 
Ukiona ccm inakukera,jitangazie uhuru,anzisha nchi yako!
Hapa tutatawala mpaka damu yako itavyofutika ulimwenguni

Hivi wewe kweli ziko timamu???????????????,Au ulikuwa unaandika post ya kufungia mwaka??????
 
ndo maana anatakiwa avunje baraza aliunde upya ni mizgo mingi sana imo kwenye baraza
 
kama imeshindikana kwa mawaziri anaowajua yeye hao wako atawachukulia hatua gani? hii sio serikali ya kuchukua hatua labda tutakapofanikiwa kuwa na serikali makini 2015 chini ya chadema
 
Kamati kuu CCM yawahoji Mawaziri

Celina Komban, Kawambwa, Ghasia, Matayo David wahojiwa
 

Uko sawa kabisa. Namba 4 ni mwizi wa elimu za watu, namba 5 ni mchochezi na dhaifu sana, namba 9 ni mama wa mipasho hana lolote kichwani na namba 13 huyo mawazo yake ni kwenye chai na jisi za ikulu tu hana lolote la mahusiano mema labda kwa wanyama huko porini
 
Ni vema pia kuwe na wizara chake tu, watalaam tusaidieni orodha ya wizara mwafaka

Wizara hizi hazina haja ya kuwepo
1. wizara ya kazi
2. wizara ya nchi mahusiano bora
3. wizara ya ushirikiano wa afrika mashariki
4wizara ya ujenzi na uchukuzi ziunganishwe kuwa wizara moja
5. wizara ya maendeleo ya jamii wanawake na watoto ife shughuli zake ziwe ndani ya wizara ya afya na ustawi wa jamii
6.
7.
8

Tuna takiwa kuwa na wizara zisizozidi 15 tu!
 
Bahati nzuri kinana umemkuta mzigo pinda si mropokaji manake nae angeamua kukuchana na ishu zako za meno ya tembo sijui kama pangetosha.Nape nae ni mzigo wa chama pia.
 
Sayansi imepanda wizara na mikoa ziungane, Elimu na Ufundi iungane na Sayansi na tecknolojia, Mikoa ya Geita na Mwanza, Dar na Pwani, Lindi a Mtwara, Kigoma na Kagera etc
 
mbona masaliti kwenye chama chenu mmeyashindwa mnahamia huku?? siku 14 bado?? liondoe kwanza boriti la jicho lako ndipo uliondoe la mwenzako......fukuzeni masaliti haraka
 
Msaliiiitiiiii na timu yake wako booked tayari, au unashangaa hatua za CDM??? umesikia bungeni kuwa kavuliwa unaibu KUB????
 

Halafu, balaza mpya Min-kabaang apewe wizara ya jinsia na watoto,wanawake
 
"Wakati mwingine hile neno mzigo mnalitumia vibaya", Mzengo Kayanza Pinda..
 

wizara ya elimu na sayansi ya juu ziwe pamojo
wizara ya kazi , utumishi na habari na michezo ziwe pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…