Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,564
- 2,483
Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha ACT Waalendo, Zitto kabwe ametoa maoni yake pia kuhusu kauli aliyoitoa katibu muenezi wa CCM Amos Makala Kuhusu Chadema kuwa wanataka kupandikiza Ebola nchini.
Kupitiaukurasa ake wa X Zitto ameandika:
"Kauli hatari sana katika siasa zetu na kwa Taifa letu. Huu sio uenezi ni UNAZI. Bwana Makalla afute kauli hii na kuomba radhi. Tunaweza kufanya siasa kwa hoja sio viroja hivi"
Soma: Pre GE2025 - Makalla: CHADEMA wanataka kuingiza Ebola Tanzania ili wazuie uchaguzi!