Kamati Kuu ya chadema imemtambua JK kama Rais halali na kuagiza wabunge kushiriki shughuli zote za kitaifa. Kamati Kuu imekataa kura ya kutokuwa na imani na Zitto mpaka asikilizwe kwanza kwa mujibu wa natural justice.
??Kamati kuu ya CHADEMA imeunda jopo la wazee wa chama chini ya prof. Baregu kumsikiliza Zitto na matatizo yake na viongozi wengine wa chama ili kuleta suluhu ndani ya chama. Jopo hilo lina Shida Salum, Kitila Mkumbo kama Katibu, prof. Baregu na Shilungushela.
Wabunge wa CHADEMA wameagizwa kukutana na Zitto kwanza kabla ya kuchukua maamuzi yeyote kisha walete taarifa kwenye kamati kuu.
NCCR MAGEUZI wamemuahidi Uenyekiti wa Chama na agombee urais mwaka 2015 kama walivyofanya kwa AL.Mrema. Dogo bado analitafakari hili ingawa kuna nguvu kubwa ya marafiki zake wa CCM wanaotaka kumsajili kwa udi na uvumba!! CUF nao wanamtaka kwa mgongo wa udini, wanapiga chapuo eti waislamu hawako salama wakiwa CHADEMA!!!! Kwa kweli nchi hii imelaaniwa kama mambo yenyewe ndiyo haya!!
Huyu dogo mwisho atachanganyikiwa na sijui mtasema nani kamloga!
.Kamati Kuu ya chadema imemtambua JK kama Rais halali na kuagiza wabunge kushiriki shughuli zote za kitaifa. Kamati Kuu imekataa kura ya kutokuwa na imani na Zitto mpaka asikilizwe kwanza kwa mujibu wa natural justice.
??Kamati kuu ya CHADEMA imeunda jopo la wazee wa chama chini ya prof. Baregu kumsikiliza Zitto na matatizo yake na viongozi wengine wa chama ili kuleta suluhu ndani ya chama. Jopo hilo lina Shida Salum, Kitila Mkumbo kama Katibu, prof. Baregu na Shilungushela.
Wabunge wa CHADEMA wameagizwa kukutana na Zitto kwanza kabla ya kuchukua maamuzi yeyote kisha walete taarifa kwenye kamati kuu
Tupe data na source!
Kamati unayozungumzia imekaa lini na wapi kufikia uamuzi huo.
Nje ya hapo toa hii pumba yako!
QUOTE=MWANALUGALI;agombee urais mwaka 2015
Mkubwa ilo halitawezekana kwa katiba ya sasa. The guy atakua still under 40 years old.