Halisi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2007
- 2,802
- 613
Kamati Kuu ya chadema imemtambua JK kama Rais halali na kuagiza wabunge kushiriki shughuli zote za kitaifa. Kamati Kuu imekataa kura ya kutokuwa na imani na Zitto mpaka asikilizwe kwanza kwa mujibu wa natural justice.
Kamati kuu ya CHADEMA imeunda jopo la wazee wa chama chini ya prof. Baregu kumsikiliza Zitto na matatizo yake na viongozi wengine wa chama ili kuleta suluhu ndani ya chama. Jopo hilo lina Shida Salum, Kitila Mkumbo kama Katibu, prof. Baregu na Shilungushela.
Wabunge wa CHADEMA wameagizwa kukutana na Zitto kwanza kabla ya kuchukua maamuzi yoyote kisha walete taarifa kwenye kamati kuu.